Ukoloni mamboleo unaitafuna Kenya

Ukoloni mamboleo unaitafuna Kenya

Kipato kizuri is a relative term. Una maana gani unaposema wanapata kipato kizuri. Kipato kizuri kwa kulinganisha na nani na wapi? Hata kufirw* unaweza kulipwa hela nzuri kwa mtazamo wako, lakini ni hela nzuri kwa kulinganisha na nini. Wakenya huko ughaibuni wanatia aibu jamani. Wao ndio wanaootunza wazee, watoto, na kufanya usafi mahotelini, vyooni, malls, kuchuma matunda mashambani na ukahaba.

Hii ni tofauti na watanzania, kwanza sio wengi huko, pili hao wachache kazi zao ni vinyozi, kuuza dawa za kulevya na utapeli. Hawafanyi kazi za aibu. Na hii ni kutokana na kuwa tanzania wanakotoka wameacha fursa nyingi sana za kilimo, kufuga, kuvua, biashara ndogondogo, nk kwakuwa ardhi kubwa kwa kila mtanzania ipo, tuna bahari kuanzia tanga hadi mtwara, tuna mito mikubwa na maziwa ya kuvua, kusafirisha na kumwagilia, tuna hifadhi za taifa nyingi, tuna madini mengi wachimbaji wadogowadogo wanafaidika. Hivyo sio rahisi kijana wa kitanzania kufanya kazi inayomdhalilisha, ni maskini jeuri kwakuwa nyumbani ameacha fursa nyingi sana na anaweza kurudi wakati wowote ukimzingua.

Lakini wakenya ni tofauti kabisa, wao wanakimbia poverty, propertles, ukabila, unyang'anyi, ukoloni; ukiambiwa hakuna kutoka nje lazima utii vingine unatwangwa risasi ukufe. Bahati mbaya viongozi wanawaambia watu wasitoke nje ili waqualify kupata misaada ya covid kutoka kwa wazungu watie tumboni kwao.

Mkenya yuko irritated all the time, kila kitu kinapatikana kwa kugoma na maandamano, hata huku kukimbia sana kwenye mashindano ya riadha ni kama teke la mwisho ya kupigana na poverty kwao. Hakuna hiari lazima ukimbie ili ujinasue. Tanzania nivtofauti kidogo fursa ziko tele, sio lazima ukimbie saaana ili ule.kazi
Kazi ya kufanya usafi au kazi ya uizi na utapeli ipi ni kazi ya aibu?
Eti Tanzania kuna fursa nyingi.....
Danganya ambao hawajafika hapa mimi naishi Tanzanian naona watu vile wanamaisha magumu
Anyway nyie wengine mpo kwenye system hajui changamoto yeyote iliopo mtaani
Mnatembea na V8 ilhali wengine hata 500 ya daladala ni mbinde
Hongera!!!
 
Kazi ya kufanya usafi au kazi ya uizi na utapeli ipi ni kazi ya aibu?
Eti Tanzania kuna fursa nyingi.....
Danganya ambao hawajafika hapa mimi naishi Tanzanian naona watu vile wanamaisha magumu
Anyway nyie wengine mpo kwenye system hajui changamoto yeyote iliopo mtaani
Mnatembea na V8 ilhali wengine hata 500 ya daladala ni mbinde
Hongera!!!
Tanzania ni mahali ambapo unaweza kusema kesho nitalima pilipili na kweli ukalima pilipili maana miundombinu ya kufanya hivyo ipo ni uvivu tu wa mtu. Utapeli ni kazi ya kiwango cha juu sana duniani inayofanywa na watu wenye akili nyingi bila kujali ni wa taifa gani. Utapeli uko nigeria, ulaya na hata marekani. Tanzania inaitwa bongo kwakuwa watu wake ni wajanja sana. Hata askari wa Tanzania ni wajanja sana kuliko wale wa Kenya. Kama alshababu wangekuja tanzania ungewaonea huruma hata wewe kwa kile ambacho wangekioata. Kenya wanalialia tu na alshababu kwakuwa jeshi halina morali linajali maslahi. Kenya bila msaada ya wazungu unaweza kumkamata yeyote unaemtaka Kenya.
 
Kazi ya kufanya usafi au kazi ya uizi na utapeli ipi ni kazi ya aibu?
Eti Tanzania kuna fursa nyingi.....
Danganya ambao hawajafika hapa mimi naishi Tanzanian naona watu vile wanamaisha magumu
Anyway nyie wengine mpo kwenye system hajui changamoto yeyote iliopo mtaani
Mnatembea na V8 ilhali wengine hata 500 ya daladala ni mbinde
Hongera!!!
Tanzania wafanyakazi hawategemei mishahara yao, wanazo fursa nyingine za kufanya baada ya kazi. Kenya hamna bhana, wakikiyu wamebeba fursa zote na wangine niwasindikizaji kama kondoo. Hawana ujanja wowote. Utakuta mtu mmoja tu anamiliki ardhi yooote inayoweza kutosha kusupport maisha ya watu 5 mil. Hamna ujanja zaidi ya kufanya kazi yoyote mradi tu upewe pesa.
 
Wakenya wanagoma goma goma kila siku, hawajali maisha ya ndugu zao wagonjwa, watoto wao wanaotafuta elimu wala nani, je, watajali watu wa EAC? Wao ni pesa pesa pesa tyuuu. Kama akina Kenyatta pekee wanamiliki ardhi inayoweza kuhudumia watu 10 mil je, wafanyakazi wafanye nini? BBI ni upuuzi mtupu kabla kwanza watu hawajarudisha rasilimali za wakenya walizozipora bila ridhaa yao. Hatua ya kwanza warejeshe ardhi kwa wakenya ili waitumie kujilisha, kukopea kwenye taasisi za fedha na kupata makazi, hatua ya pili Kenya ishushe thamani ya pesa yake ili wananchi wapate nafuu ya maisha, hatua ya tatu Kenya iachane na sera za kikoloni za kuwa full capitalist country.
 
Bro I am Tanzanian who live abroad
Please control your language
Hao mayaya kutoka pwani ya Kenya kule uarabuni wapo kweli na wengine wanatoka Tanga, Zanzibar nk
Lakini ukweli utabaki pale pale Wakenya wengi wao waliopo ughaibuni wanafanya kazi smart kwa sababu ni wasomi na Wabongo wanabangaiza kwa sababu wengi wametoka vijiweni
Kubali ukatae Kenya wametuzidi kila kitu
Ama kweli ww ni kibaraka wa mabeberu zuzu mkubwa huko abroad unafanya nn au na ww ndo kibarua wa bei nafuu huko abroad [emoji2][emoji31]
 
Mimi sijasema Kenya ni nchi ya ulimwengu wa kwanza au Wakenya wote ni matajiri
Ila ukifananisha na Bongo wenzetu wapo mbali sana kielimu. Kiuchumi na kihali
Kuhusu makahaba hio ni hulka hata wamerekani. Waingereza n, k wapo machangudoa
Mkuu huwezi kukubali maana wengine tupo kusema Ndio mzee.. Lakini tungekua wakweli labda tungejua nini cha kufanya tuweze kuwafikia wenzetu
Achana na uchumi wa mataifa haya mawili je wewe binafsi na familia yako mnamudu milo mitatu kwa siku au utumwa wa mawazo unajaribu kukingia kifua kitu ambacho hakina msaada kwako na ww ukibaki kuwa kapuku na masikini wa kutupwa ,,,, by the learn to be a smart player ,,,, na siyo kuwa kibaraka kwa kila jambo wakati unapolala pamejawa chawa
 
Back
Top Bottom