Ukoloni mamboleo unaitafuna Kenya

Kazi ya kufanya usafi au kazi ya uizi na utapeli ipi ni kazi ya aibu?
Eti Tanzania kuna fursa nyingi.....
Danganya ambao hawajafika hapa mimi naishi Tanzanian naona watu vile wanamaisha magumu
Anyway nyie wengine mpo kwenye system hajui changamoto yeyote iliopo mtaani
Mnatembea na V8 ilhali wengine hata 500 ya daladala ni mbinde
Hongera!!!
 
Tanzania ni mahali ambapo unaweza kusema kesho nitalima pilipili na kweli ukalima pilipili maana miundombinu ya kufanya hivyo ipo ni uvivu tu wa mtu. Utapeli ni kazi ya kiwango cha juu sana duniani inayofanywa na watu wenye akili nyingi bila kujali ni wa taifa gani. Utapeli uko nigeria, ulaya na hata marekani. Tanzania inaitwa bongo kwakuwa watu wake ni wajanja sana. Hata askari wa Tanzania ni wajanja sana kuliko wale wa Kenya. Kama alshababu wangekuja tanzania ungewaonea huruma hata wewe kwa kile ambacho wangekioata. Kenya wanalialia tu na alshababu kwakuwa jeshi halina morali linajali maslahi. Kenya bila msaada ya wazungu unaweza kumkamata yeyote unaemtaka Kenya.
 
Tanzania wafanyakazi hawategemei mishahara yao, wanazo fursa nyingine za kufanya baada ya kazi. Kenya hamna bhana, wakikiyu wamebeba fursa zote na wangine niwasindikizaji kama kondoo. Hawana ujanja wowote. Utakuta mtu mmoja tu anamiliki ardhi yooote inayoweza kutosha kusupport maisha ya watu 5 mil. Hamna ujanja zaidi ya kufanya kazi yoyote mradi tu upewe pesa.
 
Wakenya wanagoma goma goma kila siku, hawajali maisha ya ndugu zao wagonjwa, watoto wao wanaotafuta elimu wala nani, je, watajali watu wa EAC? Wao ni pesa pesa pesa tyuuu. Kama akina Kenyatta pekee wanamiliki ardhi inayoweza kuhudumia watu 10 mil je, wafanyakazi wafanye nini? BBI ni upuuzi mtupu kabla kwanza watu hawajarudisha rasilimali za wakenya walizozipora bila ridhaa yao. Hatua ya kwanza warejeshe ardhi kwa wakenya ili waitumie kujilisha, kukopea kwenye taasisi za fedha na kupata makazi, hatua ya pili Kenya ishushe thamani ya pesa yake ili wananchi wapate nafuu ya maisha, hatua ya tatu Kenya iachane na sera za kikoloni za kuwa full capitalist country.
 
Ama kweli ww ni kibaraka wa mabeberu zuzu mkubwa huko abroad unafanya nn au na ww ndo kibarua wa bei nafuu huko abroad [emoji2][emoji31]
 
Achana na uchumi wa mataifa haya mawili je wewe binafsi na familia yako mnamudu milo mitatu kwa siku au utumwa wa mawazo unajaribu kukingia kifua kitu ambacho hakina msaada kwako na ww ukibaki kuwa kapuku na masikini wa kutupwa ,,,, by the learn to be a smart player ,,,, na siyo kuwa kibaraka kwa kila jambo wakati unapolala pamejawa chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…