Ukoloni unarudi Tanzania?

Tumbo kitu hatari sana wandugu
 

Attachments

  • Screenshot_20230705-134443.jpg
    75.4 KB · Views: 8
Je Serikali ni dhaifu imeshindwa kuzuia upigaji?

Hili swali zuri sana na jibu lake ni simple kuwa wote ni wapigaji nani atamfunga nani?
 

Huyu hapa mtu nisiyemuamini! Huyu utawala wake ulikuwa ndio utawala uliokuwa mchafu kwa rushwa kuliko yote! Kashfa zote kubwa ni zake. Sasa anatuhumiwa kushika remote ya chamwino/magogoni na nchi inauzwa kwa wakoloni! Tumfanyeje!?
 
Ni nchi gani Haina wawekezaji dunia hii?
Swala tukaze tunufaike na uwekezaji lakini huwezi kuukataa katika Dunia ya leo.
Sasa na wewe mleta mada ni mwana CCM na unalia hivi kwani CCM ni kabila kwamba huwezi hama?
Huwezi tafuta mabadiliko nje ya CCM?
 
Ni nchi gani Haina wawekezaji dunia hii?
Swala tukaze tunufaike na uwekezaji lakini huwezi kuukataa katika Dunia ya leo.
Sasa na wewe mleta mada ni mwana CCM na unalia hivi kwani CCM ni kabila kwamba huwezi hama?
Huwezi tafuta mabadiliko nje ya CCM?
Haujui kutofautisha kati ya mwekezaji na mwizi?

Mikataba inayoletwa na wawekezaji wa Tanzania unaweza kuipeleka Uingereza?
 
Mbona posta inashirikiana na Makampuni mengi Tu ya Ulaya?
Nashauri punguza islamophobia na stereo types ...

Ushirikiano siku zote unaamua wewe kipi ushiriki kipi ukatae...sio mkataba wa kununua wala kukodisha...
Takbiiiiiiiiir
 

Tafuta pesa
 

Picha za kusadikika, na waandaaji wa hizi picha na historia za kutungwa wamewapata watu kama ninyi
 
Posta imetolewa Kwa mwarabu?
Ushirikiano nao ni kutoa?
Kwahiyo nchi zote tunazo shirikiana ni tunawapa?...
Akili za wapi hizi?
Huyu mtoa hoja hajui maana ya biashara na kajitoa ufahamu anaongea kama anaishi miaka ya 70. Kwanza nimjibu kuhusu Uganda hawana uwezo wa kuchimba ndio maana unaona huo mradi ni wa TOTAL yeye vijana wake watapata ajira za kawaida ila baada ya PSA kuisha huko baada ya miaka 20 wawe na exp ya kutosha kushika lakini hakuna maana kesho ndio watashika. Total sio wajinga wana watu experiance hao ndio wanakamata.
Tanzania tulikuwa na viwanda ni sisi tukavimaliza kila kitu sasa serikali zamani ilikuwa kujaza ruzuku tu lengo ajira ilindwe ikafika kipindi IMF/WB wakasema hakuna ruzuku fanya biashara upate faida huwezi binafsisha hakuna kampuni inakula hasara halafu uchukue mkopo ujaze kwenye hasara, Nyerere kafanya ubsihi mwisho wa siku ya kumshinda nchi ikafilisika ndio tukaingia mfumo wa kibepari fanya kazi ule hakuna ajira za hasara hasara. Sema hatukujiandaa kuwa kuna ushindani na hatukubali ushindani tunapenda yale yale ya ruzuku. Maisha yamebadilika
 
We
Posta imetolewa Kwa mwarabu?
Ushirikiano nao ni kutoa?
Kwahiyo nchi zote tunazo shirikiana ni tunawapa?...
Akili za wapi hizi?
We nae ni boss was vyooni?
 
Posta imetolewa Kwa mwarabu?
Ushirikiano nao ni kutoa?
Kwahiyo nchi zote tunazo shirikiana ni tunawapa?...
Akili za wapi hizi?
Nyerere aliwahi kusema "You cannot put a light weight boxer with heavy weight boxer and saying the rules are the same...!! It's a murder..." Leo hii mfano nchi Kama Marekani inafanya Bilateral agreements with Lesotho!!!πŸ˜‚πŸ˜‚ What do you expect apo??? KUWAPA WATU RASILIMALI KWA KIGEZO CHA UWEKEZAJI INABIDI KAMA TAIFA TUTAFAKARI!!!
 
nimeona taarifa za Nchi zinazofanya sana ngono... πŸ‡ΉπŸ‡Ώ #10... hakuna kitu tunaweza... hata kunyanduana...
 

Ushirikiano unaelewa maana yake??
Posta zote zinafanya ushirikiano dunia nzima...
Halafu sio kila industry Sisi ni lightweight...zipo industry Sisi ni middleweight na hao tunaoshirikiana nao ni lightweight...
 
Ushirikiano unaelewa maana yake??
Posta zote zinafanya ushirikiano dunia nzima...
Halafu sio kila industry Sisi ni lightweight...zipo industry Sisi ni middleweight na hao tunaoshirikiana nao ni lightweight...
Uko bize kutetea ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…