Olaigwanani lang
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 547
- 181
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujui kutofautisha kati ya mwekezaji na mwizi?Ni nchi gani Haina wawekezaji dunia hii?
Swala tukaze tunufaike na uwekezaji lakini huwezi kuukataa katika Dunia ya leo.
Sasa na wewe mleta mada ni mwana CCM na unalia hivi kwani CCM ni kabila kwamba huwezi hama?
Huwezi tafuta mabadiliko nje ya CCM?
Leta mikataba ya Uingereza tulinganisheHaujui kutofautisha kati ya mwekezaji na mwizi?
Mikataba inayoletwa na wawekezaji wa Tanzania unaweza kuipeleka Uingereza?
TakbiiiiiiiiirMbona posta inashirikiana na Makampuni mengi Tu ya Ulaya?
Nashauri punguza islamophobia na stereo types ...
Ushirikiano siku zote unaamua wewe kipi ushiriki kipi ukatae...sio mkataba wa kununua wala kukodisha...
Kwani Wana kazi gani nyingine?UVCCM kila mtu anawaza uteuzi
We umeshirikishwa huko kwao hao unaoshirikiana nao? Ushirka wa wapi upo upande mmoja tu?
Africa tuache ujinga, huwezi kuwa partner kama haupo level moja na unaoshirikiana nao, hiyo ni parasitic mode of relationship haiwezi kuwa symbiotic.
Na uhakika kabisa wewe ni mfaidika wa mfumo huu dhalili ndiyo sababu huoni wala husiki. Na tabia ya watu kama wewe ni pale favour inapoondoka ndipo mnaanza kudhani ndiyo unahaki ya kutumia akili.
Ninyi wa hivi ndiyo chawa wenyewe ambao mwandishi anawazungumzia, sawa na wale matarishi wa enzi za ukoloni. Nonyi wa mentality hii niwakuogopwa kama ukoma.
tunaanza campaign ya kuwadhibiti watu wenye mawazo kama yako.
Usiwe mjinga wewe...baada ya CCM kuitangazia dunia kwamba hakuna Mtanzania hata moja mwenye sifa, uwezo wala uadilifu wa kusimamia kilicho chetu, ulitegemea nini?
Kuwa japo na akili...baada ya CCM kuitangazia dunia kwamba Watanzania kwa ujumla wetu ni walafi, wadokozi na wezi, mjinga gani huyo yuko tayari kushirikiana nasi?
Ndio, tunawapa kwa kuwa ni Utawala wa CCM, sera za CCM na uongozi wa CCM ndio umetufikisha hapo na kibaya zaidi kwa ubabe wameng'ang'ania madaraka.
Ni akili za CCM. Adui wa taifa hili ni CCM kwani mtaji wa CCM ni ujinga, pumzi ya CCM ni unafiki, misingi ya CCM ni matumizi ya nguvu kulinda itikadi yao ya kifisadi.
View attachment 2679091
Na kujengewa nyumba bora na za kisasaUshirikiano ? Tanzania inapata shs ngapi?
Wananchi wa Loliondo na Ngorongoro wamefaidika nini?
Njoo nikugawie wewe unayeendekeza kuombaombaTafuta pesa
Huyu mtoa hoja hajui maana ya biashara na kajitoa ufahamu anaongea kama anaishi miaka ya 70. Kwanza nimjibu kuhusu Uganda hawana uwezo wa kuchimba ndio maana unaona huo mradi ni wa TOTAL yeye vijana wake watapata ajira za kawaida ila baada ya PSA kuisha huko baada ya miaka 20 wawe na exp ya kutosha kushika lakini hakuna maana kesho ndio watashika. Total sio wajinga wana watu experiance hao ndio wanakamata.Posta imetolewa Kwa mwarabu?
Ushirikiano nao ni kutoa?
Kwahiyo nchi zote tunazo shirikiana ni tunawapa?...
Akili za wapi hizi?
We nae ni boss was vyooni?Posta imetolewa Kwa mwarabu?
Ushirikiano nao ni kutoa?
Kwahiyo nchi zote tunazo shirikiana ni tunawapa?...
Akili za wapi hizi?
Nyerere aliwahi kusema "You cannot put a light weight boxer with heavy weight boxer and saying the rules are the same...!! It's a murder..." Leo hii mfano nchi Kama Marekani inafanya Bilateral agreements with Lesotho!!!😂😂 What do you expect apo??? KUWAPA WATU RASILIMALI KWA KIGEZO CHA UWEKEZAJI INABIDI KAMA TAIFA TUTAFAKARI!!!Posta imetolewa Kwa mwarabu?
Ushirikiano nao ni kutoa?
Kwahiyo nchi zote tunazo shirikiana ni tunawapa?...
Akili za wapi hizi?
Nyerere aliwahi kusema "You cannot put a light weight boxer with heavy weight boxer and saying the rules are the same...!! It's a murder..." Leo hii mfano nchi Kama Marekani inafanya Bilateral agreements with Lesotho!!!😂😂 What do you expect apo??? KUWAPA WATU RASILIMALI KWA KIGEZO CHA UWEKEZAJI INABIDI KAMA TAIFA TUTAFAKARI!!!
Uko bize kutetea ujingaUshirikiano unaelewa maana yake??
Posta zote zinafanya ushirikiano dunia nzima...
Halafu sio kila industry Sisi ni lightweight...zipo industry Sisi ni middleweight na hao tunaoshirikiana nao ni lightweight...