Mbowe ni Profesa wa siasa km Kikwete, Lissu na Heche hawaijui na hawawezi siasaUkirejea falsafa ya 4 R na nia ya dhati ya Mhe. Samia Suluhu Hassan ya maridhiano leo tena tunamuona Freeman Mbowe akiwakilisha ukomavu mkubwa wa kisiasa na kuwapa funzo vijana wake wote aliowaibua kutoka vyuo vikuu kuwa siasa za upinzani sio ushindani usio na tija bali ni hoja mbadala zinazolenga maendeleo ya nchi.
Sioni cha kumpongeza, wakati mwenzie anaumia!Ukirejea falsafa ya 4 R na nia ya dhati ya Mhe. Samia Suluhu Hassan ya maridhiano leo tena tunamuona Freeman Mbowe akiwakilisha ukomavu mkubwa wa kisiasa na kuwapa funzo vijana wake wote aliowaibua kutoka vyuo vikuu kuwa siasa za upinzani sio ushindani usio na tija bali ni hoja mbadala zinazolenga maendeleo ya nchi.