Kama wanahofia hayo basi huku Upinzani hawatoshiTuwape muda maana nia wanayo lakini mazonge yanawazonga na kuhofia kesho yao mali zao na familia zao
Ili Muda Usipoteee....! Nini Kifanyike.?
Mkuu Usiwaache Waja hewani.!
Tuwape muda maana nia wanayo lakini mazonge yanawazonga na kuhofia kesho yao mali zao na familia zao
Ccm lazima walazimishwe kuachia madaraka.
Hakuna mtanzania wa kuwaunga mkono nyie wapinzani mlioshindwa kujenga hata ofisi ya chama na kuishia kutafuna Ruzuku zote na michango ya wabunge, Sasa Nani awape nchi nyie wababaishaji? Nyie Ni wakuongozwa Daima na siyo kuongoza nchi hii
Endeleeni kujifariji ila msisahau, "watu 10 au 15 tu, wanatosha sana." --asema Castro.
Nasi tunasema mwangwi wetu kuelekea Tahrir unatosha sana.
Kama mnadhani tunatania fikirieni tena.
wapo watanzania milioni2 wale mliompa lissu mwaka 2020 Kwenye uchaguzi mkuuHakuna mtanzania wa kuwaunga mkono nyie wapinzani mlioshindwa kujenga hata ofisi ya chama na kuishia kutafuna Ruzuku zote na michango ya wabunge, Sasa Nani awape nchi nyie wababaishaji? Nyie Ni wakuongozwa Daima na siyo kuongoza nchi hii
Tanzania chini ya serikali ya CCM Ni salama Sana na IPO katika mikono salama
wapo watanzania milioni2 wale mliompa lissu mwaka 2020 Kwenye uchaguzi mkuu
The time is now.... Press the button.Mbona ule mwangwi wetu tu kuelekea Tahrir unatosha sana?
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir.
Nimesoma weee, nimesoma kila mstari na kila neno Ila nasikitika kukuambia SIJAELEWA
Inashangaza, kuchekesha, au kuhuzunisha, pale unapokaa mezani na mwenzio kumueleza matatizo yako, huku yeye akiwa ndie chanzo cha matatizo hayo, anakusikiliza kwa makini na kuahidi atayafanyka kazi, lakini akitoka kikaoni anaenda luendeleza yale maovu aliyokuahidi kuyafanyia kazi.