B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Sep 28, 2022 Thread starter #22 Behaviourist said: View attachment 2370629 Click to expand... Hizo zitakuwa propaganda tulizozizowea za kina johnthebaptist walioko busy kukaanga mbuyu. Lissu au mwamba wanunuliwe kwa bei gani?
Behaviourist said: View attachment 2370629 Click to expand... Hizo zitakuwa propaganda tulizozizowea za kina johnthebaptist walioko busy kukaanga mbuyu. Lissu au mwamba wanunuliwe kwa bei gani?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 28, 2022 #23 brazaj said: Hizo zitakuwa propaganda tulizozizowea za kina johnthebaptist walioko busy kukaanga mbuyu. Lissu au mwamba wanunuliwe kwa bei gani? Click to expand... Nasi tuseme wanapenda tu CCM
brazaj said: Hizo zitakuwa propaganda tulizozizowea za kina johnthebaptist walioko busy kukaanga mbuyu. Lissu au mwamba wanunuliwe kwa bei gani? Click to expand... Nasi tuseme wanapenda tu CCM
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Sep 28, 2022 Thread starter #24 johnthebaptist said: Nasi tuseme wanapenda tu CCM Click to expand... Nasi wacha tuseme sawa. Kwani hata Kuna lolote lenu linalotufanya kubadili au kuboresha lolote kwetu? Jibu ni "zero!" Habari ndiyo hiyo. Angalizo: Umeonekana Mara ukidai kuwa ni mkazi wa huko. Kumbe Ngorongoro na Handeni nako tayari ulikwisha hama?
johnthebaptist said: Nasi tuseme wanapenda tu CCM Click to expand... Nasi wacha tuseme sawa. Kwani hata Kuna lolote lenu linalotufanya kubadili au kuboresha lolote kwetu? Jibu ni "zero!" Habari ndiyo hiyo. Angalizo: Umeonekana Mara ukidai kuwa ni mkazi wa huko. Kumbe Ngorongoro na Handeni nako tayari ulikwisha hama?
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Dec 15, 2022 Thread starter #25 NInakazia:
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Dec 15, 2022 #26 brazaj said: NInakazia: View attachment 2447196 Click to expand... Huu ni wakati wa hawa jamaa kurudi nyumbani ili wakakifanyie kazi kile wanachokiandika mitandaoni field, kuendelea kuandika tu mitandaoni huku ukiwa nje ya nchi, kwangu ni sawa na mbwa asiye na meno anayebweka tu.
brazaj said: NInakazia: View attachment 2447196 Click to expand... Huu ni wakati wa hawa jamaa kurudi nyumbani ili wakakifanyie kazi kile wanachokiandika mitandaoni field, kuendelea kuandika tu mitandaoni huku ukiwa nje ya nchi, kwangu ni sawa na mbwa asiye na meno anayebweka tu.