Ukombozi wa Afrika unamhitaji sana Tundu Lissu kuwaambia ukweli Kagame na Museveni

Ukombozi wa Afrika unamhitaji sana Tundu Lissu kuwaambia ukweli Kagame na Museveni

Mbinile

Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
46
Reaction score
106
Enyi Wapiga Kura wa CHADEMA tuleteeni TAL kwa kuwa ndio mtu SAHIHI wa kuleta MATOKEO CHANYA ya kutuokoa Watanzania zidi ya UDIKTETA.

Mkimrejesha mtatufanya wengi turejeshe nia ya kupiga kura 2025. Ni mtu sahihi wa kutetea wanyonge wa Afrika zidi ya MADIKTETA kama KAGAME na MUSEVENI kupitia vikao vya EAC, SADC na Umoja wa Afrika (AU).
 
Tanzania kuna udikteta gani?.Acha akili za kitoto aise.jipe muda wakujisemea mwenyewe alafu jiulize je nikweli hayo unayoyataka au kuyafikiria yapo au ni hisia zako zinakusumbua.Alafu lissu hawezi kumwambia kitu ata makonda tu ndo uje uwazungumzie kina museveni.Hii mihemko yenu haiwezi kukwamua nchi labda ziwe ni story za vijiwe vya kahawa.
 
Hivi mbowe amewahi kuwachallenge kina kagame na museveni kweli?
 
Enyi Wapiga Kura wa CHADEMA tuleteeni TAL kwa kuwa ndio mtu SAHIHI wa kuleta MATOKEO CHANYA ya kutuokoa Watanzania zidi ya UDIKTETA. Mkimrejesha mtatufanya wengi turejeshe nia ya kupiga kura 2025. Ni mtu sahihi wa kutetea wanyonge wa Afrika zidi ya MADIKTETA kama KAGAME na MUSEVENI kupitia vikao vya EAC, SADC na Umoja wa Afrika (AU).
Point sana
 
unawashitua kina museveni na kagame wamuone lissu ni mpinzani wao na watake kuingezea nguvu ccm wakabiliane naye asifike to the top maana atawachalenji namna ya kutoa demokrasia katika nchi zao. Nadhani nchi nyingi zinafuatilia siasa za chadema na tanzania kwa ujumla maana zina impact kwa nchi zao
 
Enyi Wapiga Kura wa CHADEMA tuleteeni TAL kwa kuwa ndio mtu SAHIHI wa kuleta MATOKEO CHANYA ya kutuokoa Watanzania zidi ya UDIKTETA. Mkimrejesha mtatufanya wengi turejeshe nia ya kupiga kura 2025. Ni mtu sahihi wa kutetea wanyonge wa Afrika zidi ya MADIKTETA kama KAGAME na MUSEVENI kupitia vikao vya EAC, SADC na Umoja wa Afrika (AU).
Nafikiri watanzania ni hatari kuliko Kagame na Mseven
 
Tanzania kuna udikteta gani?.Acha akili za kitoto aise.jipe muda wakujisemea mwenyewe alafu jiulize je nikweli hayo unayoyataka au kuyafikiria yapo au ni hisia zako zinakusumbua.Alafu lissu hawezi kumwambia kitu ata makonda tu ndo uje uwazungumzie kina museveni.Hii mihemko yenu haiwezi kukwamua nchi labda ziwe ni story za vijiwe vya kahawa.
Ujumbe h
 
Ujumbe huu ni kwa wapiga kura wa CHADEMA na Si wa MACHAWA wa MAMA.
 
Enyi Wapiga Kura wa CHADEMA tuleteeni TAL kwa kuwa ndio mtu SAHIHI wa kuleta MATOKEO CHANYA ya kutuokoa Watanzania zidi ya UDIKTETA.

Mkimrejesha mtatufanya wengi turejeshe nia ya kupiga kura 2025. Ni mtu sahihi wa kutetea wanyonge wa Afrika zidi ya MADIKTETA kama KAGAME na MUSEVENI kupitia vikao vya EAC, SADC na Umoja wa Afrika (AU).
😂😂😂 Eti Tundu anaweza kuwafanya Kagame na Museveni wabadilike!!
Ya kufunguliwa mwaka hii so hilarious
 
😂😂😂 Eti Tundu anaweza kuwafanya Kagame na Museveni wabadilike!!
Ya kufunguliwa mwaka hii so hilarious
.....Ana uwezo wa kuwaambia waache udikteta bila kuwaogopa....Kumbuka hadi sasa hakuna kiongozi yeyote aliyeweza kuongelea uchaguzi HURU na HAKI kwa Mu7 na Kagame....Ninamuona TAL anaweza sababu MBOWE kwa kiasi kikubwa amemsaidia Lissu....Hata kuokoa maisha yake lakini TAL alipoona FAM anatoka nje ya reli akaamua kugombea mafasi ya Mwenyekiti.............Kama wewe ni CHAWA wa FAM au MAMA hautampenda TAL..sababu yeye ni dawa ya CHAWA na UCHAWA
 
museveni na kagame wamuone lissu ni mpinzani wao na watake

INTELEJENSIA YA UGANDA INAVYOFANYA KAZI:
Rais Yoweri Museveni akielezea kuwa vyombo vyake vya intelejensia vinampa taarifa zote ikiwemo za kutoka nchi za jirani na zile za mbali :

View: https://m.youtube.com/watch?v=ROi04uOHoKU
kuhusu mbunge Babu Owino aliyemchambua Rais wa Uganda Yoweri Museveni? Akinukuu kile alichokiita ripoti za kijasusi, Kiongozi wa Uganda alimpigia simu mbunge huyo wa Embakasi Mashariki Nchini kenya akisema Babu Owino amekuwa akifanya kazi na watu wanaoipinga serikali yake....
 
Ujasusi wa Rwanda nje ya mipaka yake kwa kutumia kitengo cha usalama wa taifa ujasusi nje ya mipaka

14 February 2024
Alberta, Canada

Afisa wa RCMP wa Alberta ashtakiwa kwa madai ya kushiriki data isiyo ya siri ya juu na Jamhuri ya Rwanda

View: https://m.youtube.com/watch?v=hxl2xpBM1Z8

Mike LeCouteur anajadili tuhuma zilizowekwa dhidi ya afisa wa RCMP ya Alberta kwa kushiriki habari na 'jasusi wa kigeni.'....

Alberta RCMP (Police) Officer Accused Of Being A Rwandan Spy. Seriously.

View: https://m.youtube.com/watch?v=tMbunrLF9g0

20 November 2019
Ujasusi mara nyingi huhusishwa na nchi kubwa kama Uchina au Urusi, sio na nchi kama Rwanda. Lakini wakati dunia inastaajabia muujiza wa Rwanda, utawala wa Paul Kagame umeripotiwa kuweka njia za kisasa za kufuatilia na kufuatilia wakosoaji wake nje ya nchi, hata hapa nchini Canada. Jasusi wa Rwanda aeleza siri yake. Ripoti kutoka Oktoba 31, 2019

View: https://m.youtube.com/watch?v=RPm3WAEEG3o
 
aina ya watu kama lissu tunaanziaga mashuleni ndo mana nlitafuta sana wasifu wake wa huko nyuma mana nilijua tunafanana tu. ndo mana namkubali pia sasa watu wa namna hii n hatar sana kwa watu wasiopenda haki ,pia mwngine alikuwa mwendazake nasema haya mana najijua hata mm, nakumbuka nilikuwa na uwezo mkubwa sana hata darasani (watu wale wa kujibu mtihani bila hata kusoma but wanakuwa on top) nilitumia nafasi hiyo kukosoa viongozi wangu mpaka walimu na nikawa mbaya kwao ila wanafunzi walinipenda sana so najua lissu ni aina gani ya watu. so ni muda wake sasa..
 
INTELEJENSIA YA UGANDA INAVYOFANYA KAZI:
Rais Yoweri Museveni akielezea kuwa vyombo vyake vya intelejensia vinampa taarifa zote ikiwemo za kutoka nchi za jirani na zile za mbali :

View: https://m.youtube.com/watch?v=ROi04uOHoKU
kuhusu mbunge Babu Owino aliyemchambua Rais wa Uganda Yoweri Museveni? Akinukuu kile alichokiita ripoti za kijasusi, Kiongozi wa Uganda alimpigia simu mbunge huyo wa Embakasi Mashariki Nchini kenya akisema Babu Owino amekuwa akifanya kazi na watu wanaoipinga serikali yake....

Soma zaidi :
Kwa muktadha wa vitengo vya ujasusi wa nje vinavyofanya kazi kama Rais Yoweri Kaguta Museveni alivyosema kuhusu mwanasiasa wa Kenya kumuunga mkono Bob Wine mpinzani mkubwa wa utawala wa Museveni..
1737107543558-jpeg.3204345

Nyenzo hizi kwa hisani kubwa ya mwandishi wa vitabu wa kitanzania Yericko Nyerere.
 
MUSEVENI NI NANI ? NA JE TUNDU LISSU ANAWEZA KUMKABILI MUSEVENI ?

View: https://m.youtube.com/watch?v=hDXTnCl5Wdk

Mchambuzi anakwenda kwa kina kikubwa kuhusu wanasiasa wachanga kama kina Zitto Kabwe, Tundu Lissu n.k wanaoshambulia wanasiasa wazee

Je hatima ya Zitto Kabwe katika siasa za Tanzania hususan kule Kigoma 'zimefeli' hata kupata kutokana na ukaribu wake na Bob Wine wa Uganda mpinzani wa Museveni ... nje nguvu hizi za kumdhibiti Zitto Kabwe ni za kutoka mifumo ya ndani au hata mifumo ya nje ilihusika.. ambayo hufanyika kwa kificho kikubwa nyuma ya ujasusi wa kidola ..
 
Enyi Wapiga Kura wa CHADEMA tuleteeni TAL kwa kuwa ndio mtu SAHIHI wa kuleta MATOKEO CHANYA ya kutuokoa Watanzania zidi ya UDIKTETA.

Mkimrejesha mtatufanya wengi turejeshe nia ya kupiga kura 2025. Ni mtu sahihi wa kutetea wanyonge wa Afrika zidi ya MADIKTETA kama KAGAME na MUSEVENI kupitia vikao vya EAC, SADC na Umoja wa Afrika (AU).
Waropokaji wengi zaidi ya Lissu walioshakuwepo na kupita na Afrika ikabaki ile ile. Julius Malema na kuropoka kwake kasaidia nini Afrika Kusini?
 
Back
Top Bottom