Mkuu mapinduzi ya namna gani unayo yazungumzia kwa hapa taifani :- i, Civil revolution au
ii, Millitary revolution
Viongozi waliopo sasa wanaakisi jamii kubwa ya wanaowaongoza
Una amini Kuna hao watu wa kuweza kufanya civil revolution ?Kwa maana halisi ya ukombozi kama ilivyo kwenye mada msingi wetu ni watu. Tunataka mabadiliko kwa mujibu wa katiba.
Kwa mujibu wa katiba mabadiliko ni hali. Atakaye chagua shari hatutakuwa sisi.
Watanzania siyo watu wa mikiki mikiki. Nikupe mfano mwingine. Kule Uganda kuwaamata wanasiasa maarufu kama Kiza Besigye ama Boby Wine inakuwa balaa kweli kweli na polisi wengi hufariki. Maandamano huendeshwa nchi nzima kuilazimisha serikali kuwaachia huru.
Hapa kwetu Tanzania wanasiasa maarufu mfano Mbowe, hukamatwa kama Panya-road tu nchi inatulia kana kwamba hakuna Jambo kubwa lililotokea. Hao ndiyo watanzania.
Viongozi wetu wanaboronga, tena wanaboronga kweli kweli lkn watanzania wanagugumia na kusemea vifuani mwao tu.
Hebu tukae chini tubuni mbinu itakayowaamsha watanzania wapiganie haki zao na kuifanya serikali iwe inawaogopa wananchi. Tusiige ya nchi za watu yasiweza kufanya kazi hapa nchini.
Una amini Kuna hao watu wa kuweza kufanya civil revolution ?
Jinsi tawala dhalimu zinavyowarubuni raia
- Kiini macho cha mazingaombwe (fake)
- Kutumia maadui maruhani wasiokuwepo kuwatisha raia kuwa bila CCM mnaadui hawa wasiokuwepo wataichukua nchi
- Kushika hatamu za vyama vya waalimu, TLS, vyama vya ushirika kwa kuweka mapandikizi ya viongozi karagosi
- Kujipenyeza ndani ya viongozi wa kiimani ili kudhoofisha uwezo wao wa kukemea maovu wanayotenda watawala
- Kuwagawa ktk makundi maalum ya bodaboda, machinga, mamantilie kina mama, vijana, makundi ya wanafunzi vyuo vikuu kisha kuwaahidi mikopo nafuu
- Kuanzisha vyama feki vya kisiasa vilivyosajiliwa
- Baada ya kuwagawa ktk vikundi hivyo vya kijamii na kiimani, watawala wanajenga mazingira ya wanajamii hao kutoamini baina yao
- Tunaona jinsi watanzania wasivyojaliana, watu wakipigwa risasi au kuonewa kwa aina yoyote hawapazi sauti kwani wanajifariji jambo hilo halijamgusa yeye binafsi au kundi lake alilotegewa na watawala
- Vikundi hivyi vya kijamii vilivyotengenezwa na kufadhiliwa na CCM wamewaaminisha ukuu wa chama na kuwa ukiwa nje ya jumuiya za chama cha CCM na makundi ya kijamii CCM waliyotegeneza hutaweza kutoboa maishani, watu sasa wanaishi kwa matumaini kuwa yupo bwana mkubwa CCM chama kimoja-dola mwenye nguvu kuu ya kuwalinda, kuwapa ajira na mikopo
- Baada ya kuwatawala katika vikundi vidogo vinavyo hasimiana kwa kuamini fitina za chama-dola, kilichobaki kwa CCM ni kujaribu kuufungia uhuru wa kuongea ukweli
- Vyombo vya habari vinasakamwa, uhuru wa habari kuminywa.
- Wizara ya habari ndiyo inakuwa chombo pekee cha kusambaza habari za 'ukweli' kwa jamii hii ya kiTanzania iliyovunjwa vibande vingi.
- Mtawala sasa mambo yake yanaenda vizuri maana hakuna makundi huru ya waalimu, wahadhiri wa vyuo vikuu, vyama vya wafanyakazi, wakulima n.k walio huru kupaza sauti zao.
- Wananchi mmoja mmoja wakipaza sauti vipi gari za kifahari za V8 zinunuliwe kwa ajili ya vigogo wa serikali kwa tozo na kodi zetu, wapaza sauti hao wachache wananyamazishwa kuwa watapungunza maandazi na chai wala siyo kusitisha ununuzi wa magari ya V8

Hakika...
Ulioorodhesha ni ukweli ulio bayana unaojulikana.
Kuuvunja mnyororo huo inataka dhamira kweli kweli. Haiwezi kuwa mchezo mchezo hata kidogo.
Iangalie orodha ya viongozi kwenye mada wenye kuweza kuuvaa uthubutu unaotakiwa.
Tunahitaji dhamira kamili na mikakati huku tukifahamu nguvu zao/zetu, unyonge wao/wetu na options zao/zetu.
Tunashindwa vipi tukiwa na ufahamu wote huu?
Jinsi tawala dhalimu zinavyowarubuni raia
- Kiini macho cha mazingaombwe (fake)
- Kutumia maadui maruhani wasiokuwepo kuwatisha raia kuwa bila CCM mnaadui hawa wasiokuwepo wataichukua nchi
- Kushika hatamu za vyama vya waalimu, TLS, vyama vya ushirika kwa kuweka mapandikizi ya viongozi karagosi
- Kujipenyeza ndani ya viongozi wa kiimani ili kudhoofisha uwezo wao wa kukemea maovu wanayotenda watawala
- Kuwagawa ktk makundi maalum ya bodaboda, machinga, mamantilie kina mama, vijana, makundi ya wanafunzi vyuo vikuu kisha kuwaahidi mikopo nafuu
- Kuanzisha vyama feki vya kisiasa vilivyosajiliwa
- Baada ya kuwagawa ktk vikundi hivyo vya kijamii na kiimani, watawala wanajenga mazingira ya wanajamii hao kutoamini baina yao
- Tunaona jinsi watanzania wasivyojaliana, watu wakipigwa risasi au kuonewa kwa aina yoyote hawapazi sauti kwani wanajifariji jambo hilo halijamgusa yeye binafsi au kundi lake alilotegewa na watawala
- Vikundi hivyi vya kijamii vilivyotengenezwa na kufadhiliwa na CCM wamewaaminisha ukuu wa chama na kuwa ukiwa nje ya jumuiya za chama cha CCM na makundi ya kijamii CCM waliyotegeneza hutaweza kutoboa maishani, watu sasa wanaishi kwa matumaini kuwa yupo bwana mkubwa CCM chama kimoja-dola mwenye nguvu kuu ya kuwalinda, kuwapa ajira na mikopo
- Baada ya kuwatawala katika vikundi vidogo vinavyo hasimiana kwa kuamini fitina za chama-dola, kilichobaki kwa CCM ni kujaribu kuufungia uhuru wa kuongea ukweli
- Vyombo vya habari vinasakamwa, uhuru wa habari kuminywa.
- Wizara ya habari ndiyo inakuwa chombo pekee cha kusambaza habari za 'ukweli' kwa jamii hii ya kiTanzania iliyovunjwa vibande vingi.
- Mtawala sasa mambo yake yanaenda vizuri maana hakuna makundi huru ya waalimu, wahadhiri wa vyuo vikuu, vyama vya wafanyakazi, wakulima n.k walio huru kupaza sauti zao.
- Wananchi mmoja mmoja wakipaza sauti vipi gari za kifahari za V8 zinunuliwe kwa ajili ya vigogo wa serikali kwa tozo na kodi zetu, wapaza sauti hao wachache wananyamazishwa kuwa watapungunza maandazi na chai wala siyo kusitisha ununuzi wa magari ya V8
Kiini macho cha Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora chajadiliwa kwa kina:
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imelitaja Jeshi la Polisi kuwa Taasisi inayoongoza kwa kulalamikiwa na Wananchi
Ikiwa imetimia miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imelitaja Jeshi la polisi kama Taasisi kinara inayolalamikiwa zaidi na wananchi. Hayo yamebainishwa leo Ijumaa Septemba 9, 2022 na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji mstaafu Mathew Mwaimu wakati akizungumza...www.jamiiforums.com
Mchakato wa kuitoa nchi katika hatua moja duni kwenda katika hatua nyingine bora zaidi kwa jina la ukombozi, unahitaji watu waliodhamiria kweli kweli.
Jukumu hili haliwezi kuwa la kila mtu. Nyuso za watu hawa, maneno, (nyuzi, posts) na matendo yao hujionyesha.
Inawezekana namna gani kuwasikia Nyerere, Museveni, Kagame, Sokoine, Putin, Mandela, Lissu, Mbowe, Mangula, Mtikila, Seif, Malema, Garang, Saddam, Milosevic, Thatcher, Gadaffi, XI, Mengistu, Mugabe, Rawlings, Gandhi, Castro, Obama, Kim na wa namna hiyo wakiwa carried kwenye mizaha au hadithi za mbususu, simba na yanga, man city na man u, vumbi la congo na ya namna hiyo?
Pana haja ya kukatumia ka litmus haka ka kupima kudhamiria, kuwaengua wengine kwenye harakati hizi ili kutosumbuka na kupoteza muda na watu wasiojitambua.
View attachment 2374229
Kuikataa mikono yenye damu hakuwezi kuwa nusu nusu.
"Mtu hawezi kuwa mguu mmoja ndani na mwingine nje."
Ukombozi hauhitaji watu wengi. Wasanii na waachwe kuendelea na usanii wao kwa raha zao.
Ukombozi hawezi kuachiwa Mungu kutuletea bila ya sisi kuchukua hatua za makusudi.
View attachment 2374234
Ni heri kuwa na watu wachache waliodhamiria kuliko kuwa na lundo la waoga, wajinga, wapumbavu au wasaka fursa.
Ni vyema kujipima mwenyewe kutambua wewe ni asset au ni liability tukapeana nafasi kiroho safi.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Hata Rais Samia hahitaji kuungwa mkono na wanaccm wote ili kutuletea Tanzania mpya ya maendeleo na haki za watu
Kuita andiko la mtu ni RUBBISH bila kuelezea maoni yako ndio URUBBISH wenyewe huo.