Za nini mimi nina akili now natafuta ujuzi na mtaji that's why unaona sijaanza hizo vuruguUna $ million ngapi mfukoni kama kianzio?.
πππππFilamu kali inakujaa soon Idi Amini mamaa
πππππ me cmjui huyo labda yule wa kenyashort video tunahitaji mkuu,af naskia charlie chaplin kafufukia bongo
Unadhani hizo muvi ulizoandika hapo wanatengeneza kwa milion 2 za kibongo.Za nini mimi nina akili now natafuta ujuzi na mtaji that's why unaona sijaanza hizo vurugu
Mbona kama umejipanga kunibishiaUnadhani hizo muvi ulizoandika hapo wanatengeneza kwa milion 2 za kibongo.
We ni motivation speaker huna lolote.Mbona kama umejipanga kunibishia
Duh ningependa kujua utambulisho wako ili wakati ukifika nikulingishieWe ni motivation speaker huna lolote.
Utambulisho wangu upi?Duh ningependa kujua utambulisho wako ili wakati ukifika nikulingishie
Usibadilishe ID nitakuja kukulingishia siku mojaUtambulisho wangu upi?
Sana mwanangu ndio niko nasoma maswala hayo huku naendelea na harakati za kutafuta mtaji nikianza kutoa vitu mjiandae kunipa sapoti tuuKama umeamua kufanya hivo ni vzuri kabisa lkn isome vzuri context ya kitanzania vzuri zaidi...ili production Yako iwe context sensitive italeta Radha zaidi..kwa watazamaji..meanwhile ukimerge hizo trending production technologies
Kwa hakika wewe umesema ukweli kabisa ....hayo mambo yanahitaji ubunifu watu na mtaji that's why nimeanza safari na humo ndio nitaanza kutafuta yupi na yupi wanafaa kuanzia watu wa story, watu wa vibonzo, watu wa sound na editors(kipengele nyeti zaidi) kwahiyo nimejizatiti kulipambania hiloNakupongeza sana kwa dhamira yako ya kusoma na kuwekeza katika production ya filamu zenye ubora wa hali ya juu. Ni kweli kabisa filamu kubwa kama Avatar au Avengers zinaonekana kuvutia sana kwa sababu kuna kazi ya pamoja ya maelfu ya watu nyuma ya pazia, wakiwemo waandishi wa hadithi, wachoraji wa michoro ya awali (concept artists), wabunifu wa mavazi, wataalamu wa sauti, wasanii wa vionjo vya sauti, wachezaji wa nyuma (extras), na zaidi ya yote sekta nzima ya vibonzo (comics industry) inayoweka msingi wa ulimwengu wa filamu hizo.
Kwa hiyo ni kweli, mtu mmoja hawezi kubeba yote, lakini mtu mmoja anaweza kuanzisha mchakato. Kama wewe una maono, unaweza kuanza kwa kushirikiana na wachoraji wa vibonzo, waandishi wa hadithi, na wataalamu wengine. Ujenzi wa industry huanza kwa maono, mshikamano, na hatua ndogo ndogo zinazofuatana Tunahitaji wazalishaji wa maudhui kama wewe lakini pia tunahitaji kujenga mazingira yanayowakutanisha watu wa nyanja tofauti ili tufike huko pamoja
Mkombozi wa bongo movie kwanini unajicheka sasa au field pagumu πππππππππ