Ukome!, unadhani baa-medi wote malaya!.

Ukome!, unadhani baa-medi wote malaya!.

DASA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
1,031
Reaction score
302
Hayo ndio maneno aliyotoa kwa hasira baa-medi mmoja kwa jamaa ambaye alikuwa analazimisha penzi kwa huyo baa-medi. Baa-medi akaongeza kwamba 'mi nimeokoka, na si kwamba napenda kufanya kazi kwenye mazingira haya, na sio kwamba kuwa baa-medi ndio umalaya, tafadhali tuheshimiane, mi nipo kazini hapa natafuta liziki ya familia yangu kama wewe unapokuwa ofisini kwako".
 
Huyo kweli mlokole. Ukimtaka baa medi bila kutanguliza hela, lazima akuambie ameokoka.
Chezea mabinti wa mjini wewe!!!!!
 
Duuuuuuh!Kweli mlokole!
 
ila 'kukubanija' watu wote wa aina fulani wana tabia fulani si vizuri kabisa.

Inawezeekana kabisa huyo baamedi si malaya, dah ni shida tu.
 
ila 'kukubanija' watu wote wa aina fulani wana tabia fulani si vizuri kabisa.

Inawezeekana kabisa huyo baamedi si malaya, dah ni shida tu.


kukubanija?
kiswahili hiki?
 
Eh hiyo kali ma baa medi ukimpa tip au kinywaji basi unaona kakuganda. Nawaonea huruma watu ambao wake au wanawake zao ni mabaa medi
 
she was right to stand her ground... wakware kuweni makini maana mmezoea kuwachukulia for granted sana hawa akina dada
 
nipe moja tu nione kama umeiva.

Nilichosema awali ni sawa na kusema 'stereotyping'

Kiswahili kimekua eeh?
BTW Muislam sio lazima akae karibu na msikiti..
Naunga nkono hoja..sio kila barmaids ni m.a.l.a.y.a
 
lol, kweli co wote lkn wengi wao, ndomana jamii inawachukulia vby.
Samaki mmoja akioza.....
 
Hahaaaaaaa vero weeee tgarden dot com
 
Huenda walipishana kauli but cwezi kujua.
 
Back
Top Bottom