Magongo Member Joined Jan 24, 2012 Posts 60 Reaction score 9 Aug 6, 2012 #41 Hana lolote huyo barmaid, alikuwa kashamshtukia kuwa mfuko wa jamaa umekauka, so akatumia umbrella ya urokole kusepa.
Hana lolote huyo barmaid, alikuwa kashamshtukia kuwa mfuko wa jamaa umekauka, so akatumia umbrella ya urokole kusepa.