ila 'kukubanija' watu wote wa aina fulani wana tabia fulani si vizuri kabisa.
Inawezeekana kabisa huyo baamedi si malaya, dah ni shida tu.
unataka twisheni???
siku hizi nafundisha lol
nipe moja tu nione kama umeiva.
Nilichosema awali ni sawa na kusema 'stereotyping'
kukubanija?
kiswahili hiki?
unataka twisheni???
Nyie wawili mkibaki peke yenu itakuwa "twisheni" ya kitu gani? Maybe itakuwepo "twisheni" kweli lakini si ya Kiswahili!
itakuwa ya jografia.
Afu na wewe umefuata nini hapa?
Okey!!! Samahani nimepita njia tu! Sikuwa na nia ya kupiga chabo.
unaona sasa umenipeperushia njiwa wangu na mtama nimemaliza??
Nakuchinja hata wewe japo wewe ni kware.
Huyo kweli mlokole. Ukimtaka baa medi bila kutanguliza hela, lazima akuambie ameokoka.
Chezea mabinti wa mjini wewe!!!!!