Huyo kweli mlokole. Ukimtaka baa medi bila kutanguliza hela, lazima akuambie ameokoka.
Chezea mabinti wa mjini wewe!!!!!
Huenda walipishana kauli but cwezi kujua.
Yaani na ngoma yote hii kuna watu wanajilipua na mabaamedi tu?
Ngoma po kila kona hata kwa watoto wa shule,mabalozi ,wabunge,mawaziri,wafanyabiashara,secretaries,dr,nurses,teachers na wengineo sio bar med tu
Kwa hiyo kujilipua na mabaamedi poa kwa sababu ngoma ipo pote?
Aaaa sina mana hiyo mkuu yani we ulivyoandika it is as if baa meid tu ndo wana ngoma.Halafu unajua nini mara nyingi machangu na wao huwa hawaipati sana coz wanaume wanakuwa makini kutumia zana
siku hizi nafundisha lol
Eti walipishana kauli kwani kila bar medi malaya? au hawezi kuokoka ?Mtoa mada nipe contact za huyo bar med nitamtafutia ajira nzuri.Sitaki maneno hii ni offer special
Please hata mie ni Barmaid, please please
Wewe mzee wa mabaamedi nini? Inaonekana kama una uzoefu sana.
In my books ma baamedi na sex workers wana higher chances za kuwa HIV positive kutokana na mazingira ya kazi, umaskini, na viwango vya elimu vyao.Hususan ma baamedi kwenye elimu.
Wewe, hivi unadhani watu huwa vipi wanaoa baa medi... huyo mjanja, hapo alikuwa anapandisha dau kwa jamaa yake aliyekuwa pembeni kwa kumuumbua huyu aiyeomba.. Sasa jamaa yake hapo lazima aingie king..watu wajanja bwana acha tu...Huyo siyo baa maid atakuwa ameingia kwa makosa katika kazi hiyo, lakini rudi tena baada ya miezi wiwili au mitatu inawezekana ndio kwanza ameingia mjini kutoka Iringa, atakuwa amechanganya ile mbaya, utakuaja kutuambia hapa JF
He kwa hiyo kama we bar maide ?Soma angalizo
Please hata mie ni Barmaid, please please
sasa utatangulizaje hela kabla ya kujua mustakabali?Huyo kweli mlokole. Ukimtaka baa medi bila kutanguliza hela, lazima akuambie ameokoka.
Chezea mabinti wa mjini wewe!!!!!
dah kweli aisee..'wapiganaji' nao skuizi wame-adapt survival skills za ajabu sana..huenda walishindana bei sasa kumkomoa jamaa akaamua kupayuka kwa sauti ili kumdhalilisha mbele ya kadamnasi.Huenda walipishana kauli but cwezi kujua.