Kitu hamuelewi ni kwamba?, Hiyo mikataba ya miradi hamjaiona lakini huu mkataba mama hauna kikomo hivyo hao jamaa wanaweza waka wanakodisha tu hadi maisha.
Wanaweza wakafanya miradi maisha yote bila kikwako kwa sababu mkataba mama unasema hivyo.
Hayo mengine ni mbwembwe tu. Mnataka kutuweka kwenye matatizo makubwa.
Msitumie Nguvu Sana.
2025 MTAKUJA KULIA UJIE.