Kichwani hamna kitu wewe kama Allah
Inaonyesha haujanielewa nilicho kisema yawezekana wewe ndio kichwani kwako hamna kitu au umedandia vitu ambavyo hauna elimu navyo kuhusu Quran na kuumbwa Kwa ulimwengu
Ila Kwa kuwa Mimi ndio mwalimu wa vilaza kama wewe utanielewa tu
Ulitoa Aya ya Quran katika sura 2 alafu ukatoa maelezo ya kuwadanganya wagalatia wenzanko kuwa Quran inasemaje kuhusu ulimwengu
Sasa hapa nakuonyesha kuwa hao wanasayansi wako unao waamini walipokufundisha kuhusu ulimwengu wamekopi ndani ya Quran
1)ASILI YA ULIMWENGU
A)Wanasayansi wako
BIG BANG THEORY
Ulimwengu ulikuwa kama sahani ukatokea mlipuko mkubwa ndio zikapatikana Nyota na Sayari
B) JE! QURAN INASEMAJE
Quran 21:30
- Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua?
Hapo concept ni Moja kuwa ulimwengu ulikuwa kitu kimoja ikatumika nguvu kuviachanisha wanasayansi wamesrma MLIPUKO Qurani imesema KUBABANDUA
Kubabandua ni kuviachanisha vitu vilivyoganda Kwa kutumia nguvu
Hivyo basi hiyo Idea ya BIG BANG THEORY wanasayansi wamekopi na kupest ndani ya Quran Kwa sababu Quran imelieza hilo karine 6 na wao wameelaza hayo karine ya 19 Yani zimepita karine 13
1) ULIMWENGU UNATANUKA
A) Wanasayansi
the universe began as just a single point, then expanded and stretched to grow as large as it is right now—and it is still stretching!
Wanasayansi hapo wanasema ulimwengu unatuka Kwa uchunguzi wao
B) Je! Quran ilisemaje?
Quran 51:47
- Na mbingu tumezifanya kwa nguvu na uwezo na hakika Sisi bila ya shaka ndio twenye uwezo wa kuzitanua.
Hapo Allah anamwambia mtume Muhammad kuwa yeye ndiye aliyezijenga mbingu na yeye ndio atakaye zitanua
Wanasayansi wako hapo pia wamekopi ndani ya Quran kwa sababu Quran ilishasema kuwa ulimwengu unatanuka tokea karine ya 6 na wao wamekuja kusema karine ya 19 Yani zimepita karine 13 ndio wao wanajua
Wewe ni kilaza tu
Hauna dini Kwa sababu ukristo sio dini
Hauna Mungu Kwa sababu Yesu sio Mungu
Hauna mtume Kwa sababu Paulo sio mtume
Hauna kitabu Kwa sababu wakolitho, wagalatia, Tito sijui warumi sio vitabu vya Mungu