ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,151
- Thread starter
- #21
when was the last time you visited postnatal clinic??
tuliobahatikaga kufundishwa ni wale tuliozaa enzi za nepi na mafuta ya nazi, siku hizi za pampers na baby oil ukishapima uzito subiri miez sita ipite ili ukaribishwe kwenye dawati la kupanga uzazi.
sijapitwa sana hata mimi natumia mafuta ya nazi tena ya kutengeneza mwenyewe mpendwa..naomba niulize ni sawa kama nikiwafunga pampers kwa umri huu? maana arusha ni mvua daily nep hazikauki sasa naogopa kuwafunga pampers..hebu nambie mpenz niwafunge tu ama badobado?