Ukomo wa damu baada ya kujifungua


sijapitwa sana hata mimi natumia mafuta ya nazi tena ya kutengeneza mwenyewe mpendwa..naomba niulize ni sawa kama nikiwafunga pampers kwa umri huu? maana arusha ni mvua daily nep hazikauki sasa naogopa kuwafunga pampers..hebu nambie mpenz niwafunge tu ama badobado?
 
kawaida sana, wengine hadi 3months. Epuka kufanya kazi zinazochosha mgongo.

Nakutamanije

Asante sana ndugu..usjali nawewe utapata tu siku moja..ila ujiandae maana vinasumbua hivyoo
 
kwakweli disposable diapers kwa sehem za baridi kuwafunga sio jambo baya ila sasa kama sio mwangalifu chances za kupata uti ni kubwa sana.

hakikisha hawakai nazo hadi zikajaa sana na pia hata kama huwez kuwatia maji mara kwa mara lkn kuwa futa matakoni kwa kitambaa chenye maji ya uvuguvugu na kupaka mafuta ni muhimu kila unapowabadili.

sijui kwann siamini sana baby wipes lkn kama unaweza kuziamini basi tumia ila maji muhimu kuwatia mumie.

ningekuwa mimi wewe ningehakikisha nakuwa na nenpi nyingi zaidi manake ukweli ni kwamba kila mtoto akijisaidia kwenye nepi lazima utambadili tu tena utamfuta kwa maji na kumpaka mafuta. na hapa lazima ningekuwa nakuwa wa mwisho kuingia kitandani na wa kwanza kuamka manake masharti ya nepi zisilale chafu bila kulowekwa. sasa ubaya wake ni kwamba housegirl hatakaa ataona unamfanyisha kazi nyingi zaidi.

mwisho wa siku tafuta aina ya maisha ambayo ni simple na yatakayokupa furaha ya kulea wanao, ukicomplicate sana utaona tabu ya malezi, na ukiwa too hard utaota kibiongo
 

Nashukuru sana kwa muda wako mamy uloutumia kunisaidia..Ubarikiwe sana..nitajitahidi kuzingatia yote ulonishauri
 
Kwa sisi watu wa FIQHI hiyo damu tunaita ni NIFASI,
Uchache wake ni siku moja na wingi wake ni siku 40 hadi 60. Ikizidi hapo hiyo tunaita ISTIHADHA(ni ya ugonjwa) .

Marhaba....jazakAllah el kheir

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Its ok mbona mie wa kwangu namvesha pampers tangu nimemzaa siwahi mvisha nepi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Uvalishaji wa diaper wahitaji uangalifu kweli usimuache nayo more than 3 hours mie namtumilia 8-10 diapers per day akijisaidia haja kubwa lazima nimuoshe na warm water na mild soap yake then nampakaa vaseline....

Btw twins wako ni wa kike au wa kiume nakuona choyo lol napenda twins jaman

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hongera kwa kuitwa Mama now your a woman!! Welcome to the world!!@ameline
 
farkhina na gfsonwin mmenichekesha. Mnazeeka bwana, kuna baby wipes siku hizi. Zina sabuni na perfumed oil humo humo
 
Last edited by a moderator:
Hii ni wiki ya tatu, sasa si uende kwa dr kama alikuambia ni wiki mbili tu?

tatizo medical science inabadilika sana. Kuna operesheni mie nilifanyiwa 7 yrs ago na dr akaniambia nipumzike 6 weeks. Majuzi kafanyiwa rafiki yangu operesheni ile ile na dr yule yule hospitali ile ile, na akaambiwa apumzike wiki tu. Usikremu mambo yetu ya kizamani bwana.
 
farkhina na gfsonwin mmenichekesha. Mnazeeka bwana, kuna baby wipes siku hizi. Zina sabuni na perfumed oil humo humo

na sasa hizo baby wipes zimekuwa na contraindication kwa ngozi za watoto wengi sana hasa wale ambao bado hata immunity haijajijenga vizuri......nimeona ambao wamepata skin rushes kwasabbu ya kautumia wengine wanabadilika skin texture..........ukweli naogopa sana vitu ambavyo ni artificial sana kwa mtoto mchanga akikomaa kidogo sawa japo miezi 6 ama 9....mimi huwa naamin bada ya chanjo ya miezi 9 mtoto anakuwa kidogo yuko fiti na mwili unaweza kupambana na lolote ukilinganisha na akiwa na wiki 3 hivi
 
Ndo nakuambia unazeeka. Toka day zero diapers zinahusika na wipes. Na siku hizi hakuna kuchunga kitovu kisiangukie baby boy. Kama ni contraindication ni bahati mbaya tu na nadhani hata prevalence ni ndogo
 

Asante Farkhina..wote ni identical twins wa kike
 
Ndo nakuambia unazeeka. Toka day zero diapers zinahusika na wipes. Na siku hizi hakuna kuchunga kitovu kisiangukie baby boy. Kama ni contraindication ni bahati mbaya tu na nadhani hata prevalence ni ndogo
hapo kwenye uzee kweli hujakosea manake kwanza mwenzio sijalea kwa pampers mie, wala wipes nililea kwa kufua nepi toka kiangazi hadi kiangazi na nilianza kufunga nepi baada ya kitovu kukatika manake nilikichunga kama nachunga mbuzi asile maindi ya jirani.........niliambiwa kikimdondokea mbelen hawi tena rijali.

hongereni sana nahisi ningekuwa nazaa sikuhizi ningezaa hata kumi manake hawana tabu ya malezi mama huchoki
 

asante mamy kwa ushauri wako
 
farkhina na gfsonwin mmenichekesha. Mnazeeka bwana, kuna baby wipes siku hizi. Zina sabuni na perfumed oil humo humo

Heee mie mbona kijana sana bado ujue lol ...... nnazo wipes natumia ila sipendi zenye harufu ila napendelea kumsafisha na maji labda ashii ndio namfuta kwa wipes....
 
Last edited by a moderator:

Hata hii habar ya kitovu niwahi kuskia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…