Ukomo wa hedhi(menopause)

Ukomo wa hedhi(menopause)

Mh hawa wajasiriamali tokea wamepata ujuzi wa kufanya packging ya bidhaa zao siku hizi wanatupata,haya ndugu nakutakia kila la kheri kwenye biashara yako.
 
Sisi wazee wetu walikuwepo juzi tu ambao tunawafahamu walikuwa wanafahamu dawa nyingi sana za mitishamba na ilikuwa mtu akipata tatizo anaambiwa asubiri akatafutiwe tiba mzee anaingia shambani na kurudi na majani ambayo yamesagwasagwa bila kufahamu ni aina gani lakini baada ya kutumia yanakuwa yanatibu tatizo. Hao wazee kwa sasa wako wapi? Je wametuachia chochote kuhusu hizo products? Hao ni kwa wale tunaowafahamu tu. Wapo wengi waliopita kizazi na kizazi na tabia inakuwa ni hii na baadaye sisi tunaokuwepo kwa sasa tunakuwa hatufahamu kabisa tiba za asilia. Sasa kwa mataifa mengine mambo kama haya yamekuwa yakihifadhiwa na kufanyiwa utafiti miaka mingi kabla ya Kristo na baadaye teknolojia ilivyoingia ikawa inazidi kurahisisha utafiti na uandaaji pamoja na uhifadhi wa products na ndiyo kwa sasa tunaweza kuzipata kwa namna unavyoziona.

Hizo documentation za nchi nyingine ziko wapi?..specifically kwa hiyo product yako/yenu.
 
Mbona hiyo email yako ni useless. Yaani ukituma ujumbe kwako google wanasema imefungwa. Vipi uiweke hapa?
 
I dont see any clarification using the "research evidence" you have availed, rather it's confusion...i think you have to be CAREFUL when marketing your products, especially touching one's health!

You need to be in a classroom
 
Biashara ya madawa ya mizizi, asili, waganga wa kienyeji, rejea edeni, dini za kuanzisha kila asubuhi baada kuotesha na kujiita mitume ... na matangazo kemkem, biashara za madini, upatu ....... WIZI MTUPU! Unaumwa wahi hospitali.
 
Mbona hiyo email yako ni useless. Yaani ukituma ujumbe kwako google wanasema imefungwa. Vipi uiweke hapa?

Email address ipo sahihi na huwa napata ujumbe kutoka kwa watu vizuri bila tatizo
 
You need to be in a classroom

I'd rather be in the classroom, than spread 'news/info' which you cant defend!!

What i know is if something worthy buying it doesnt worthy advertising!..and just so you remember being in class, means you be come more knowledgeable. You should consider it sometimes!
 
I'd rather be in the classroom, than spread 'news/info' which you cant defend!!

What i know is if something worthy buying it doesnt worthy advertising!..and just so you remember being in class, means you be come more knowledgeable. You should consider it sometimes!

welcome
 
mbona hujasema zinapaticana wapi?

Ofisi inapatikana DSM na mtu mwenye kuhitaji msaada akiwa sehemu nyingine mikoani anapatiwa pia. Cha muhimu ni kufanya mawasiliano na namba ya simu ipo pia email address ipo.
 
Meno - menstruation, monthly periods...hedhi!
Pause - cessation...kukoma, kusimama!

Menopause - kukoma hedhi...samahani kwa hiyo direct translation naweza kutokuwa sahihi kwa kizungu lakini kimaana ndio hivyo...ni mwanamke kukoma kupata siku zake za kila mwezi (hedhi). kwa kawaida hutokea kati ya miaka 40 hadi 50 hivi. Kwa kifupi ndio mwisho wa mwanamke kuweza kubeba ujauzito kwa njia za asili.
 
Mmh, unataka kujua kishule shule kwa ajili ya mtihani ama kwa ajili ya kukabiliana nalo?

Wengine tulipata ulimipause, yaani ilikoma kabla ya kuanza.

Menopause ina maana gani jamani?
 
Mkuu Riwa umepatia nilitaka kumjibu. Hata hamu ya kusex huwa inapungua pia
 
Back
Top Bottom