Ukomo wa kufanya mapenzi na mjamzito

Ukomo wa kufanya mapenzi na mjamzito

Dogo akizaliwa atakucheki kisha kukwambia nilikuwa naona unapenda kunitia masingi nikiwa tumboni kwanini lakini? Kisha ukawa unanimiminia mimaji mizito mizito hivi nilikukosea nini wakati nikiwa tumboni? hahahahahahaha lol! I am just joking Mkuu.

Wadau nauliza ikiwa demu wangu anaelekea kutimiza miez nane ya ujauzito je naruhusiwa kusex nae hadi muda gani?/au hadi siku ya kujifungua? Na pia style ambazo sio hatarishi ni zp?
Pia inaruhusiwa kumwagia shahawa ndani au bora nitumie ndomu?
 
Hakuna ukomo kama daktari hajatia neno na ukigegeda mama mtarajiwa hana tatizo lolote lile labda maumivu au kubleed. Madaktari hushauri kuendelea kugegeda hadi siku ya mwisho kama inawezekana kwani husaidia kufungua uke kirahisi siku ya kujifungua. Ila kama kuna tatizo lolote basi ni lazima muwafamishe madaktari mara moja na pia mambo yawe aste aste [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji106][emoji122]
 
Wadau nauliza ikiwa demu wangu anaelekea kutimiza miez nane ya ujauzito je naruhusiwa kusex nae hadi muda gani?/au hadi siku ya kujifungua? Na pia style ambazo sio hatarishi ni zp?
Pia inaruhusiwa kumwagia shahawa ndani au bora nitumie ndomu?
mpk siku ya mwisho ya kuingia labor ni sawa kama tu haimpi shida. muhimu ni kujua aina ya style isiyoleta purukushani
 
Haina tatizo lolote kama mama hana tatizo ki afya. Cha muhimu mtafute style ambayo haitamuumiza mama na tumbo lake... Hapa mbuzi kagoma style inahusika sana
 
Ndiyo maana siku hizi hospitali wanataka wajawazito kuongozana na wenza wao waliyoshirikiana kusababisha mimba...

Maswali kama haya kayaulize clinic utapewa ushauri bora kabisa kulingana na hali au afya ya demu wako...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom