Ukomo wa madaraka ya Waziri Mkuu kikatiba

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Katiba inasemaje kuhusu ukomo wa mtu kushika madaraka ya Waziri Mkuu wa Jamhuri? Je aliyepo anaweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu baada ya kutimiza Miaka 10 (2015-2025)?

Hapa nazungumzia kikatiba. Najua kisiasa inaweza kufanyika recycling Majaliwa akawa Makamu na Mpango akawa Waziri Mkuu Miaka 10 tena (2025-2035). Manaibu Mawaziri Wakuu wawili Dr Biteko (Madini) na Makonda (Festivals).
 
Katiba inasemaje kuhusu ukomo wa mtu kushika madaraka ya Waziri Mkuu wa Jamhuri? Je aliyepo anaweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu baada ya kutimiza Miaka 10 (2015-2025)?
2026 tutakua na waziri mkuu mpya aliepo muda wake utakua umeisha , sema atagombea ruangwa ili aendelee kuwepo bungeni maana ana ndoto za urais 2030
 
CATHERINE RUGE AWALAZA CHUMBA KIMOJA MBOWE NA SALUM MWALIMU

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezidi kuzama kwenye mgogoro wa ndani unaochochewa na mahusiano tata ya kimapenzi baina ya viongozi wake wakuu.

Mapenzi haya yameleta mfarakano mkubwa katika uongozi wa chama, hali inayotishia kuathiri mustakabali wa kisiasa wa CHADEMA mbele ya wapiga kura.

Habari za ndani zinadokeza kuwa Katibu wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) Taifa, Catherine Ruge, aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu, na wawili hao wamejaliwa kupata mtoto mmoja.

Hata hivyo, mahusiano yao yamefifia huku Mwenyekiti wa chama, Freeman Mbowe, akihusishwa kuwa mpenzi mpya wa Catherine, jambo ambalo limezua uhasama mkubwa na kuzidisha mgawanyiko ndani ya chama.

Viongozi wanasema kuwa mgogoro huu wa mapenzi umemuharibia Salum nafasi yake ya ushawishi, huku chama kikimshuku kuwa huenda anapanga kujiunga na CCM kutokana na kusifia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan.

Kutengwa kwake kisiasa kumekuja na matokeo makubwa, kwani mara kadhaa amewekwa pembeni kwenye vikao vya maamuzi vya CHADEMA, huku ikielezwa kwamba hata hoteli anayofikia Mbowe haimruhusu Salum kuingia, ikitoa nafasi kwa Mbowe na Catherine kufurahia uhusiano wao bila kizuizi.

Migogoro ya aina hii si tu inachochea mgawanyiko bali pia inapoteza imani ya wanachama na umma kwa ujumla.

Badala ya kuimarisha upinzani dhidi ya CCM, viongozi wa CHADEMA wanajihusisha na migogoro binafsi inayochochea fitina na usaliti.

Ikiwa hali hii haitadhibitiwa, chama kinaweza kuendelea kudhoofika, kikikosa umoja na dira, na hatimaye kupoteza nafasi yake kama mpinzani imara wa kisiasa nchini.
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    55.4 KB · Views: 9
Katiba inasemaje kuhusu ukomo wa mtu kushika madaraka ya Waziri Mkuu wa Jamhuri? Je aliyepo anaweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu baada ya kutimiza Miaka 10 (2015-2025)?

Hapa nazungumzia kikatiba. Najua kisiasa inaweza kufanyika recycling Majaliwa akawa Makamu na Mpango akawa Waziri Mkuu Miaka 10 tena (2025-2035). Manaibu Mawaziri Wakuu wawili Dr Biteko (Madini) na Makonda (Festival).
😂😂😂😂😂, hizi akili nyingine bhana. Yani mtu ni VP halafu umrudishe kuwa PM?? Hivi umewaza nini Jombaa?
 
Wacha umavimavi wewe!
 
😂😂😂😂😂, hizi akili nyingine bhana. Yani mtu ni VP halafu umrudishe kuwa PM?? Hivi umewaza nini Jombaa?
1. Lowasa alikua PM akabaki kuwa Mbunge na maisha yakaendelea.

2. Ndugai alikua Spika, sasa hivi Mbunge wa kawaida Tu.
 
Hakuna ukomo wa kikatiba kwa muda. Waziri Mkuu anaweza kuhudumu kwa muda wowote, mradi anaendelea kuaminiwa na Rais pamoja na Bunge.

Lakini kiuhalisia Waziri mkuu kwenye awamu ya 6 amepukutika nguvu zake... Chini ya Jiwe alikuwa na nguvu kiasi kwamba ilikuwa ukimwona au ukimsikia ilikuwa ni kama umemwona Jiwe mwenyewe...
 
Katiba inasemaje kuhusu ukomo wa mtu kushika madaraka ya Waziri Mkuu wa Jamhuri? Je aliyepo anaweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu baada ya kutimiza Miaka 10 (2015-2025)?

Hapa nazungumzia kikatiba. Najua kisiasa inaweza kufanyika recycling Majaliwa akawa Makamu na Mpango akawa Waziri Mkuu Miaka 10 tena (2025-2035). Manaibu Mawaziri Wakuu wawili Dr Biteko (Madini) na Makonda (Festival).
Waziri Mkuu hana ukomo kama Makamu
 
Hakuna ukomo wa kikatiba kwa muda. Waziri Mkuu anaweza kuhudumu kwa muda wowote, mradi anaendelea kuaminiwa na Rais pamoja na Bunge.

Lakini kiuhalisia Waziri mkuu kwenye awamu ya 6 amepukutika nguvu zake... Chini ya Jiwe alikuwa na nguvu kiasi kwamba ilikuwa ukimwona au ukimsikia ilikuwa ni kama umemwona Jiwe mwenyewe...
Sahivi VEO ana nguvu kuliko PM
 
Katiba inasemaje kuhusu ukomo wa mtu kushika madaraka ya Waziri Mkuu wa Jamhuri? Je aliyepo anaweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu baada ya kutimiza Miaka 10 (2015-2025)?

Hapa nazungumzia kikatiba. Najua kisiasa inaweza kufanyika recycling Majaliwa akawa Makamu na Mpango akawa Waziri Mkuu Miaka 10 tena (2025-2035). Manaibu Mawaziri Wakuu wawili Dr Biteko (Madini) na Makonda (Festival).
Hahaha why festival
 
CATHERINE RUGE AWALAZA CHUMBA KIMOJA MBOWE NA SALUM MWALIMU

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezidi kuzama kwenye mgogoro wa ndani unaochochewa na mahusiano tata ya kimapenzi baina ya viongozi wake wakuu.

Mapenzi haya yameleta mfarakano mkubwa katika uongozi wa chama, hali inayotishia kuathiri mustakabali wa kisiasa wa CHADEMA mbele ya wapiga kura.

Habari za ndani zinadokeza kuwa Katibu wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) Taifa, Catherine Ruge, aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu, na wawili hao wamejaliwa kupata mtoto mmoja.

Hata hivyo, mahusiano yao yamefifia huku Mwenyekiti wa chama, Freeman Mbowe, akihusishwa kuwa mpenzi mpya wa Catherine, jambo ambalo limezua uhasama mkubwa na kuzidisha mgawanyiko ndani ya chama.

Viongozi wanasema kuwa mgogoro huu wa mapenzi umemuharibia Salum nafasi yake ya ushawishi, huku chama kikimshuku kuwa huenda anapanga kujiunga na CCM kutokana na kusifia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan.

Kutengwa kwake kisiasa kumekuja na matokeo makubwa, kwani mara kadhaa amewekwa pembeni kwenye vikao vya maamuzi vya CHADEMA, huku ikielezwa kwamba hata hoteli anayofikia Mbowe haimruhusu Salum kuingia, ikitoa nafasi kwa Mbowe na Catherine kufurahia uhusiano wao bila kizuizi.

Migogoro ya aina hii si tu inachochea mgawanyiko bali pia inapoteza imani ya wanachama na umma kwa ujumla.

Badala ya kuimarisha upinzani dhidi ya CCM, viongozi wa CHADEMA wanajihusisha na migogoro binafsi inayochochea fitina na usaliti.

Ikiwa hali hii haitadhibitiwa, chama kinaweza kuendelea kudhoofika, kikikosa umoja na dira, na hatimaye kupoteza nafasi yake kama mpinzani imara wa kisiasa nchini.
Kila mwanamke ndani ya CHADEMA chawa wa CCM huwa wanavumisha ni wa Mbowe. Hamulioni hilo jimama lenu na skandali zake?
 
Haya mawazo ya kingonongono hayana manufaa kwa maendeleo ya Nchi yetu. Mijadala ya mambo binafsi ya watu mpeleke kwenye jukwaa la umbea kama lipo.
 
Katiba inasemaje kuhusu ukomo wa mtu kushika madaraka ya Waziri Mkuu wa Jamhuri? Je aliyepo anaweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu baada ya kutimiza Miaka 10 (2015-2025)?

Hapa nazungumzia kikatiba. Najua kisiasa inaweza kufanyika recycling Majaliwa akawa Makamu na Mpango akawa Waziri Mkuu Miaka 10 tena (2025-2035). Manaibu Mawaziri Wakuu wawili Dr Biteko (Madini) na Makonda (Festival).
hilo halijawahi kua changamoto na na halitakua changamoto daima kwasababu katiba iko wazi sana eneo hilo,

zaidi sana hilo wala sio kipaumbele cha waTanzania 🐒
 
Kikatiba, hakuna ukomo kwenye nafasi ya makamuu, waziri mkuu, mawaziri, wabunge na madiwani. Ukomo kawekewa rais tu
 
Kwa hiyo Mheshimiwa anaweza kuendelea kuwa PM mpaka kesi iamuliwe kama ya jiwe?
 
CATHERINE RUGE AWALAZA CHUMBA KIMOJA MBOWE NA SALUM MWALIMU

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezidi kuzama kwenye mgogoro wa ndani unaochochewa na mahusiano tata ya kimapenzi baina ya viongozi wake wakuu.

Mapenzi haya yameleta mfarakano mkubwa katika uongozi wa chama, hali inayotishia kuathiri mustakabali wa kisiasa wa CHADEMA mbele ya wapiga kura.

Habari za ndani zinadokeza kuwa Katibu wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) Taifa, Catherine Ruge, aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu, na wawili hao wamejaliwa kupata mtoto mmoja.

Hata hivyo, mahusiano yao yamefifia huku Mwenyekiti wa chama, Freeman Mbowe, akihusishwa kuwa mpenzi mpya wa Catherine, jambo ambalo limezua uhasama mkubwa na kuzidisha mgawanyiko ndani ya chama.

Viongozi wanasema kuwa mgogoro huu wa mapenzi umemuharibia Salum nafasi yake ya ushawishi, huku chama kikimshuku kuwa huenda anapanga kujiunga na CCM kutokana na kusifia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan.

Kutengwa kwake kisiasa kumekuja na matokeo makubwa, kwani mara kadhaa amewekwa pembeni kwenye vikao vya maamuzi vya CHADEMA, huku ikielezwa kwamba hata hoteli anayofikia Mbowe haimruhusu Salum kuingia, ikitoa nafasi kwa Mbowe na Catherine kufurahia uhusiano wao bila kizuizi.

Migogoro ya aina hii si tu inachochea mgawanyiko bali pia inapoteza imani ya wanachama na umma kwa ujumla.

Badala ya kuimarisha upinzani dhidi ya CCM, viongozi wa CHADEMA wanajihusisha na migogoro binafsi inayochochea fitina na usaliti.

Ikiwa hali hii haitadhibitiwa, chama kinaweza kuendelea kudhoofika, kikikosa umoja na dira, na hatimaye kupoteza nafasi yake kama mpinzani imara wa kisiasa nchini.
Nimecheka sana sana!! Daah hii ndo propaganda machinery ya Rais na mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan? 😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom