Ukomo wa madaraka ya Waziri Mkuu kikatiba

Hivi katiba ya chadema inasemaje kuhusu ukomo wa nafasi ya MWENYEKITI?
 
Nimecheka sana sana!! Daah hii ndo propaganda machinery ya Rais na mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Yeye amehusikaje hapo kwenye huo uchafu?
 
Sema Waziri Mkuu wa Tanganyika..kule Znz hawamtambui..nguvu yake inaishia hapo Nungwi...ila Katiba yetu ina kona kona nyingi sana
 
Dah..nimecheka sio poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…