GE2025 Ukomo wa matumizi ya Kampeni za Wagombea Urais ni Billioni 9

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Mkuu wa Kitengo cha Sheria Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapejo, amebainisha kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi, wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 watapaswa kuzingatia viwango vya juu vya matumizi ya fedha vilivyowekwa.

Kwa mujibu wa maelezo yake:

  • Mgombea wa Urais ataruhusiwa kutumia si zaidi ya Tsh. Bilioni 9 katika kampeni zake nchi nzima.
  • Mgombea wa Udiwani ataruhusiwa kutumia hadi Tsh. Milioni 16 katika eneo analogombea.
  • Wagombea wa Ubunge kiwango kimepangwa kulingana na vigezo vitatu vikuu: idadi ya watu katika jimbo husika, ukubwa wa eneo la jimbo, na hali ya miundombinu yake. Kwa kuzingatia vigezo hivyo, kiwango cha juu kitakachoruhusiwa ni hadi Tsh. Milioni 136.
Ameeleza hayo katika mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa yaliyofanyika leo Jumatatu Agosti 18, 2025 kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere

Mafunzo hayo yamewaleta pamoja viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa na wadau mbalimbali kwa lengo la kuwaongezea uelewa juu ya utekelezaji wa Sheria ya gharama za Uchaguzi ili kuepusha dosari wakati wa kampeni na uchaguzi.

Huu ni uongo wa dhahiri as long tume haitoi ruzuku kwa wagombea basi pia haina mandatory ya kuwapangia matumizi.
 
Wasitusumbue sisi tayari tunazo Bilioni 86. Halafu zimetoka kwa matajiri wetu ambao wametutuma tukawape rais wao wanaomtaka ili mambo yao yawe marahisi.
 
Mkuu wa Kitengo cha Sheria Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapejo, amebainisha kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi, wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 watapaswa kuzingatia viwango vya juu vya matumizi ya fedha vilivyowekwa.

Kwa mujibu wa maelezo yake:

  • Mgombea wa Urais ataruhusiwa kutumia si zaidi ya Tsh. Bilioni 9 katika kampeni zake nchi nzima.
  • Mgombea wa Udiwani ataruhusiwa kutumia hadi Tsh. Milioni 16 katika eneo analogombea.
  • Wagombea wa Ubunge kiwango kimepangwa kulingana na vigezo vitatu vikuu: idadi ya watu katika jimbo husika, ukubwa wa eneo la jimbo, na hali ya miundombinu yake. Kwa kuzingatia vigezo hivyo, kiwango cha juu kitakachoruhusiwa ni hadi Tsh. Milioni 136.
Ameeleza hayo katika mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa yaliyofanyika leo Jumatatu Agosti 18, 2025 kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere

Mafunzo hayo yamewaleta pamoja viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa na wadau mbalimbali kwa lengo la kuwaongezea uelewa juu ya utekelezaji wa Sheria ya gharama za Uchaguzi ili kuepusha dosari wakati wa kampeni na uchaguzi.

Kwenye kigezo cha idadi ya watu kwani inatagemewa mgombea awagawie hiyo pesa?
 
Sasa itakywaje Bi Hawa na wenzaje wamekusanta 88bl
 
Zile zimegawiwa kwenda vyama shikizi harambee ya majizi ya kura ilifanyika kwa mkwara kwa wafanyabiashara mwezi May hii ya juzi ilikua ni kukusanya kwa ajili ya vyama vya kwenye flash kuhadaa wafadhili kuna uchaguzi.
20250812_145130.jpg
 
Mkuu wa Kitengo cha Sheria Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapejo, amebainisha kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi, wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 watapaswa kuzingatia viwango vya juu vya matumizi ya fedha vilivyowekwa.

Kwa mujibu wa maelezo yake:

  • Mgombea wa Urais ataruhusiwa kutumia si zaidi ya Tsh. Bilioni 9 katika kampeni zake nchi nzima.
  • Mgombea wa Udiwani ataruhusiwa kutumia hadi Tsh. Milioni 16 katika eneo analogombea.
  • Wagombea wa Ubunge kiwango kimepangwa kulingana na vigezo vitatu vikuu: idadi ya watu katika jimbo husika, ukubwa wa eneo la jimbo, na hali ya miundombinu yake. Kwa kuzingatia vigezo hivyo, kiwango cha juu kitakachoruhusiwa ni hadi Tsh. Milioni 136.
Ameeleza hayo katika mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa yaliyofanyika leo Jumatatu Agosti 18, 2025 kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere

Mafunzo hayo yamewaleta pamoja viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa na wadau mbalimbali kwa lengo la kuwaongezea uelewa juu ya utekelezaji wa Sheria ya gharama za Uchaguzi ili kuepusha dosari wakati wa kampeni na uchaguzi.

Mbona watu b 100? Mbwa hawezi kumbwekea mmiliki
 
Sasa hawa waliopanga gharama za uchaguzi billion 100 watafanyaje?
 
Mbona watu b 100? Mbwa hawezi kumbwekea mmiliki
Yaani hii ingefanyika na CHADEMA Ungekuta wameshalimwa barua ,wamesimamishwa ,wafanya biashara wame kuwa harassed nk .Ila MUNGU yupo ,na huu uonevu utawala wao na vizazi vyao.Niambie watoto ,wajukuu na vitukuu wa nyerere wako wapi zeee wakatubu waliweka watu vizuizini ,hawakusimamia haki ,yule mama ameachwa na MUNGU kushuhudia kizazi chake kinavyoparanganyika.Tuko kwa novena siku ya 3 leo tunaombea taifa ,haki
 
Back
Top Bottom