Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Kwenye kigezo cha idadi ya watu kwani inatagemewa mgombea awagawie hiyo pesa?Mkuu wa Kitengo cha Sheria Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapejo, amebainisha kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi, wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 watapaswa kuzingatia viwango vya juu vya matumizi ya fedha vilivyowekwa.
Kwa mujibu wa maelezo yake:
Ameeleza hayo katika mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa yaliyofanyika leo Jumatatu Agosti 18, 2025 kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere
- Mgombea wa Urais ataruhusiwa kutumia si zaidi ya Tsh. Bilioni 9 katika kampeni zake nchi nzima.
- Mgombea wa Udiwani ataruhusiwa kutumia hadi Tsh. Milioni 16 katika eneo analogombea.
- Wagombea wa Ubunge kiwango kimepangwa kulingana na vigezo vitatu vikuu: idadi ya watu katika jimbo husika, ukubwa wa eneo la jimbo, na hali ya miundombinu yake. Kwa kuzingatia vigezo hivyo, kiwango cha juu kitakachoruhusiwa ni hadi Tsh. Milioni 136.
Mafunzo hayo yamewaleta pamoja viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa na wadau mbalimbali kwa lengo la kuwaongezea uelewa juu ya utekelezaji wa Sheria ya gharama za Uchaguzi ili kuepusha dosari wakati wa kampeni na uchaguzi.
Hizo zilikuwa kwa ajili ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na Urais nchi nzima kupitia CCM. Sijui umeelewa?Je waliochukua bilioni 86 za watu watarudisha?
Je CCM kuwapatia wagombea wake ubunge ruzuku?Hizo zilikuwa kwa ajili ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na Urais nchi nzima kupitia CCM. Sijui umeelewa?
Ingekuwa CDM tayari kesi ingekuwa mahakamani... Kuna wengine walishasambaxa baiskeli na Pikipiki!Je waliochukua bilioni 86 za watu watarudisha?
Ndio. Swali jengine?Je CCM kuwapatia wagombea wake ubunge ruzuku?
Zile zimegawiwa kwenda vyama shikizi harambee ya majizi ya kura ilifanyika kwa mkwara kwa wafanyabiashara mwezi May hii ya juzi ilikua ni kukusanya kwa ajili ya vyama vya kwenye flash kuhadaa wafadhili kuna uchaguzi.Sasa itakywaje Bi Hawa na wenzaje wamekusanta 88bl
Mbona watu b 100? Mbwa hawezi kumbwekea mmilikiMkuu wa Kitengo cha Sheria Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapejo, amebainisha kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi, wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 watapaswa kuzingatia viwango vya juu vya matumizi ya fedha vilivyowekwa.
Kwa mujibu wa maelezo yake:
Ameeleza hayo katika mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa yaliyofanyika leo Jumatatu Agosti 18, 2025 kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere
- Mgombea wa Urais ataruhusiwa kutumia si zaidi ya Tsh. Bilioni 9 katika kampeni zake nchi nzima.
- Mgombea wa Udiwani ataruhusiwa kutumia hadi Tsh. Milioni 16 katika eneo analogombea.
- Wagombea wa Ubunge kiwango kimepangwa kulingana na vigezo vitatu vikuu: idadi ya watu katika jimbo husika, ukubwa wa eneo la jimbo, na hali ya miundombinu yake. Kwa kuzingatia vigezo hivyo, kiwango cha juu kitakachoruhusiwa ni hadi Tsh. Milioni 136.
Mafunzo hayo yamewaleta pamoja viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa na wadau mbalimbali kwa lengo la kuwaongezea uelewa juu ya utekelezaji wa Sheria ya gharama za Uchaguzi ili kuepusha dosari wakati wa kampeni na uchaguzi.
Sasa hawa waliopanga gharama za uchaguzi billion 100 watafanyaje?Mkuu wa Kitengo cha Sheria Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapejo, amebainisha kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi, wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 watapaswa kuzingatia viwango vya juu vya matumizi ya fedha vilivyowekwa.
Kwa mujibu wa maelezo yake:
Ameeleza hayo katika mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa yaliyofanyika leo Jumatatu Agosti 18, 2025 kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere
- Mgombea wa Urais ataruhusiwa kutumia si zaidi ya Tsh. Bilioni 9 katika kampeni zake nchi nzima.
- Mgombea wa Udiwani ataruhusiwa kutumia hadi Tsh. Milioni 16 katika eneo analogombea.
- Wagombea wa Ubunge kiwango kimepangwa kulingana na vigezo vitatu vikuu: idadi ya watu katika jimbo husika, ukubwa wa eneo la jimbo, na hali ya miundombinu yake. Kwa kuzingatia vigezo hivyo, kiwango cha juu kitakachoruhusiwa ni hadi Tsh. Milioni 136.
Mafunzo hayo yamewaleta pamoja viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa na wadau mbalimbali kwa lengo la kuwaongezea uelewa juu ya utekelezaji wa Sheria ya gharama za Uchaguzi ili kuepusha dosari wakati wa kampeni na uchaguzi.
Yaani hii ingefanyika na CHADEMA Ungekuta wameshalimwa barua ,wamesimamishwa ,wafanya biashara wame kuwa harassed nk .Ila MUNGU yupo ,na huu uonevu utawala wao na vizazi vyao.Niambie watoto ,wajukuu na vitukuu wa nyerere wako wapi zeee wakatubu waliweka watu vizuizini ,hawakusimamia haki ,yule mama ameachwa na MUNGU kushuhudia kizazi chake kinavyoparanganyika.Tuko kwa novena siku ya 3 leo tunaombea taifa ,hakiMbona watu b 100? Mbwa hawezi kumbwekea mmiliki