Ukondefu unaninyima amani nifanyeje ili nipate walau vinyama kidogo

Ahsante mkuu ila kwa sasa nataman mwili flani wenye kitambi maana kila kitu kinanafasi yake kulingana na sehem uliyopo mwili wangu unaninyima michongo mingi kutokana na kutaminika kwa watu ninaotakiwa kufanya nao kazi
 
Hapa unamtafutia na magonjwa tu 😀 😀
 
Weee Jamaa acha kumkufuru Mungu unawajua vimbaumbau wewe????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mamaee mpaka misuli naiona unataka Ubonge upeleke wapi????? Sasa huo ulionao ndo mwili wa kiume labda kama demu wako kasema usiponenepa anakuacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukapagawaa ukaja mbiombio huku kuomba ushauri kwa kitu cha kijinga..

UBONGE HAULIPI...huo ndo mwili wa kiume acha kuendeshwa na MWANAMKE.
 
Huyu sharobaro ataweza kusindilia nyama kweli zaidi ya mishkaki minne
Hahaha tatizo bila kuridhika hunenepi, inabidi ukubaliane na hali ya maisha kwanza. Then unene utakuja tu.

Hapo hata kama ni kufuata diet stress hazitakiwi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…