sogondolelo
Member
- Nov 29, 2018
- 19
- 144
SGR ilifanya tathimini ya nyumba zetu zilizopitiwa na mradi wa SGR, tangu Dec 06 /2017. Tukaambiwa mpaka Januari 2018 tutakuwa tumelipwa na kuondoka. Mwezi Juni mkaja na tathmini ambayo haikuridhisha asilimia kubwa ya watu. Baada ya hapo mmepotea mazima.
Mpaka leo ni mwaka umekwisha, na hakuna linaloendelea wala hatujulishwi lolote. Wapangaji wamehama. Waliokuwa wanategemea wapangaji kuendesha maisha yao, hali zao ni mbaya sana, hawawezi hata kulipa ada za watoto na huduma mbali mbali walizokuwa wanaendesha miradi yao
Hivi mnavyofanya SGR ni haki hii? Mbona mnatutesa bila hata kutupa ushirikiano?!