sogondolelo
Member
- Nov 29, 2018
- 19
- 144
unatumiwa na mabeberu kupinga juhudi za nheshimiwa Rais,kuwa mzalendo ipende nchi yako
Inaniuma sana.Kama nakuona vile.. pale maeneo ya Mombasa..
SGR ilifanya tathimini ya nyumba zetu zilizopitiwa na mradi wa SGR, tangu Dec 06 /2017. Tukaambiwa mpaka Januari 2018 tutakuwa tumelipwa na kuondoka. Mwezi Juni mkaja na tathmini ambayo haikuridhisha asilimia kubwa ya watu. Baada ya hapo mmepotea mazima.
Mpaka leo ni mwaka umekwisha, na hakuna linaloendelea wala hatujulishwi lolote. Wapangaji wamehama. Waliokuwa wanategemea wapangaji kuendesha maisha yao, hali zao ni mbaya sana, hawawezi hata kulipa ada za watoto na huduma mbali mbali walizokuwa wanaendesha miradi yao
Hivi mnavyofanya SGR ni haki hii? Mbona mnatutesa bila hata kutupa ushirikiano?!
Duh enzi za JK katika ule ujenzi wa barabara za mitaani mwenye nyumba wetu alilipwa hela ya nyumba nzima ila walivunja kibaraza tu.
Enzi za JK sijui hela walitoa wapi.
Nimkumbuke hizo pesa nililipwa mimi?Na bado,mtamkumbuka sana enzi hizi za uzalendo.
Ccm hoyeeeeeeeeeeeeSGR ilifanya tathimini ya nyumba zetu zilizopitiwa na mradi wa SGR, tangu Dec 06 /2017. Tukaambiwa mpaka Januari 2018 tutakuwa tumelipwa na kuondoka. Mwezi Juni mkaja na tathmini ambayo haikuridhisha asilimia kubwa ya watu. Baada ya hapo mmepotea mazima.