Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 314
- 682
Mbise ni mmeru au mchaga?Angalia ukoo alioa Madilu, Lipumba, Mkapa kuna waife material cha msingi uwe safi mfukoni.
Vinginevyo watembelee akina Mbise.
MushiAngalia ukoo alioa Madilu, Lipumba, Mkapa kuna waife material cha msingi uwe safi mfukoni.
Vinginevyo watembelee akina Mbise.
Mboroo1.Massawe
2.kileo
3.maimu
4.mwanri
5.munuo
6.mmary
7.mushi
8.ngowi
9.masaki
😀Sie kina Lema usijaribu kabisa
Kwa hiyo Mkuu huku njiani - Marangu, Mwika, Mamba tupite tuu???Ukitaka mke Kilimanjaro nenda Rombo.
Bila kusahau OLD MOSHIUkitaka mke Kilimanjaro nenda Rombo.
Naona maua kwa wanyumbaniWanawake kutoka Rombo wana afadhali kuliko wengine. So
Massawe iko kibosho, massawe ya Rombo chagua
Ngowi iko Moshi, ila wanawake Ngowi wakorofi achana nao
Hizi koo nyingine za Moshi kimbia
Tafuta...Shirima, Tarimo, Kavishe, Tairo, Laswai, Lashayo, Njau, Mrema, Tesha....
Ukoo wa MBOWE1.Massawe
2.kileo
3.maimu
4.mwanri
5.munuo
6.mmary
7.mushi
8.ngowi
9.masaki