Ukoo upi wa Wachagga una mke anafaa kwa ndoa!!

Ukoo upi wa Wachagga una mke anafaa kwa ndoa!!

Kuna demu wa kichaaga nilimuewa ana Ngubo la kwenda

Sijui ni ukoo gani kati ya zote.?

Sema kuna mmoja alitamkia wazi alisema 'Yani wewe fulani kama Ungekuwa hujaona ningekupeleka kwetu kabisa'

Kweli nimemiss ndio maana Sina ugomvi na kina Mangi dada zao wananipendaga bure
 
Was
Maana ya sala ni ile ile tu. Ila ni kweli, kwenye Biblia Mungua anasema, vizazi vya wenye haki atavibariki mpaka vizazi elfu moja. Kwahiyo kama wazazi wako walikuwa waovu, hiyo impact utaiona kwa watoto. Kama ni wakike unakuta hawaolewi, au wakiolewa hawapati watoto. Ndo maana tunahimizwa sana kuomba toba hata kwa makosa ya wazazi wetu
Wasioamini kwenye Biblia , kwa mfano wahindu au wabudha, hayo masimulizi yanawahusu?
 
Back
Top Bottom