Ukoo upi wa Wachagga una mke anafaa kwa ndoa!!

Towo je?
 
Unaweza kuelezea kidogo namna
DEVIL INCARNATION inavyofanya kazi kwenye hivi vituo vya watoto.
Kweli hii concept simply ni "ukiona unateseka au UNAISHI vibaya ni sababu your past existence..kama vizazi vyako vili ishi vizuri huwezi teseka..kama past existence ilikua mbaya kwenye vizazi vyenu lazima mtateseka ndio maana Hinduism huchukia UMASKINI na ndio maana hawawezi ruhusu bint Yao aolewe na maskini au mtu mweusi
 
NDio ukizaliwa na madeni mpaka yalipiwe uwe huru. Ndio maana uhalisia wa sala ya baba yetu unasema tisamehe madeni yetu, achana na hii tusamehe dhambi zetu iliyobadilisshwa.

THe original concept ni tusamehe madeni yetu kama tunavyowasamehe na sisi tunaowadai

Yesu alisamehe madeni ambayo tunalimbikiziwa kwa shetani either kwa kujua au kutokujua...hakuna jambo la bure kwa shetani. Kumbuka hilo
 
Maana ya sala ni ile ile tu. Ila ni kweli, kwenye Biblia Mungua anasema, vizazi vya wenye haki atavibariki mpaka vizazi elfu moja. Kwahiyo kama wazazi wako walikuwa waovu, hiyo impact utaiona kwa watoto. Kama ni wakike unakuta hawaolewi, au wakiolewa hawapati watoto. Ndo maana tunahimizwa sana kuomba toba hata kwa makosa ya wazazi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…