Ukoo upi wa Wachagga una mke anafaa kwa ndoa!!

Nakueleza mimi leo Gily kuwa maana ya sala iko diatorted vibay mno mno mno ni maamuzi yako kuamini au kutoamini

πŸ™‚ and the meaning behind lost
 
Kwani unaoa ukoo mkuu? Every person is an individual na habebi ukoo mzima! Angalia merits za mtu unayetaka kumuoa km anafikia vigezo vyako. Mambo ya ukoo yabaki kwenye matambiko kule December
Ipo hivi...
Nawapatiliza Wana maovu ya baba zao hata kizazi cha NNE cha wanichukizao quoted from bible.

NB. Kuna watu mnaweza KUIULIZA huyu hizi tabia kazitoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…