Ukoo wa Stiven Kanumba

Ukoo wa Stiven Kanumba

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,403
Reaction score
3,055
Ukoo wa Stiven Charles Kanumba unazid kupotea baada ya Baba yake mkubwa na Marehemu Stiven, Mzee Alan Kanumba kufariki dunia usiku wa kuamukia jana huko Shinyanga Mjini!
 
RIP mzee Alan

lakini hapa si mahala pake. imuvuzishe ktk jukwaa husika
 
Hili ni jukwaa la siasa , hii peleka kuleeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sote tu wasafiri tunapita kwenda ule mji utufaao haya sio makazi yetu, ametangulia sio tuko nyuma yake
 
kunauwezekano wamempiga ndumba si unajua alikataza mali za kanumba asichukue mtu yeyote. Mungu amuweke mahali pema peponi.
 
Ukoo wa Stiven Charles Kanumba unazid kupotea baada ya Baba yake mkubwa na Marehemu Stiven, Mzee Alan Kanumba kufariki dunia usiku wa kuamukia jana huko Shinyanga Mjini!

Baba yake Eunice wa passion FM?anaishi majengo au?poleni wafiwa
 
Na wewe ukoo wenu wamekufa wangapi? weka orodha hapa. watu wengine hovyo kwelikweli!!
 
Back
Top Bottom