Tatizo riba[emoji35]kukopesha marafiki na ndugu ni zaidi ya lawama
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee nikopesheni million kumi Na tano Bila riba Wala rehani
Pole sana mkuu..cjui kwann wabongo huwa wanatake urafiki for granted..me pia nimejifunza..kuna jamaa yangu ana uwezo mkubwa sana zaidi yangu..ila mm ndio kila cku niwe namkopesha ela yeye izi laki laki kwa mwaka jana tu zishafika kama mil moja ivi ukiacha laki 5 niliyompa kwa mkupuo akisema atarudisha.alirudisha laki tuu.sijamdai nimefanya kama nimtoa sadaka tu..urafiki upo ila anajistukia sana na siku moja nilikua mkoa flani ivi nimetytiwa alaf ATM ilizama nlisahau pasword mara tatu nikakosa ata msaada kwake wa 50k tu kwamba nikisolve ntamrudishia kesho mapema na ukiangalia sina mwengine rafiki zaidi yake,visingizio vikawa vingi nikamtema tu inshu nikaisolve kwa kugeuka usiku huo huo..sio kama hama uwezo wa kunilipa anao tena sana na anafanya vitu vikubwa zaidi..ila mwaka huu ata akinitaka anikope 20 nipo radhi nionekane masikini tu.NTASEMA SINA KAKA HALI YANGU MBAYA SANA.Rafiki yangu mmoja nilimkopa Laki Sita May 2017. Alikuwa nje ya mji na mkewe akapata emergency, akihitaji hiyo pesa. Kwa kuthamini urafiki wetu, nilimtumia fasta, na elfu kumi juu ya ''kutolea''. Huyu hajalipa mpaka leo. Mwingine alikuwa staff member na akaomba nimkope Laki Nane kwa kuwa alikuwa na shida ya kutoa kagari kake kapya bandarini. Ilikuwa June mwaka jana. Hajalipa mpaka leo.
Jambo la ajabu sasa, naona kama urafiki wetu umetetereka pakubwa sana kwa wote wawili. Sio kwamba nawasumbua kwa kuwadai, la hasha. Naona mmoja yeye hata nikichat nae, ule ukaribu wetu wa zamani haupo tena. Sasa hivi simuoni kabisa WhatsApp na nimeambiwa kabadilisha namba. Huyu wa Laki nane zaidi ya mara mbili amepokea simu zangu na kusema ''nipo busy/meeting mkuu, ntakucheki baadae buddaaa...''. Hakunicheki mpaka kesho kutwa. Last time nilitaka kumpa mchongo wa kazi moja hivi lakini alivyoyeyusha, deal nimempa mwingine.
Anyway, kopa mtu fedha at your own risk. Kwa kuwa ninathamimi sana urafiki, mwaka huu sintomkopa fedha mtu au rafiki yangu yeyote. Kama ni fedha kidogo na nimesukumwa na shida ya mtu, nitatoa msaada bure na halitakuwa deni. As for the two gentlemen, nimeshawasamehe moyoni ila sitawaambia na itakaa iwatese tu.
Na kutafuta kote unakotafuta wachunba dear hawakupi kitu?? Pole sna Miss NatafutaYaani ningepata mtu anikopeshe laki tatu nisingemsahau mpaka kaburini.Nina issue ya maisha na kifo ila ndo hivo nimekwama nimemuachia mungu
angalia usiombe mchupa MkuuNaomba mkopo kaka yangu.
Ukiwaomba watasema mi mchunajiNa kutafuta kote unakotafuta wachunba dear hawakupi kitu?? Pole sna Miss Natafuta
Tuma namba yako ya TigoPesa na ikiambatana na picha yako PM.Yaani ningepata mtu anikopeshe laki tatu nisingemsahau mpaka kaburini.Nina issue ya maisha na kifo ila ndo hivo nimekwama nimemuachia mungu
Kweli mkuu?Tuma namba yako ya TigoPesa na ikiambatana na picha yako PM.
Karibu.
Ndio mkuu tuma picha full (uliosimama) na kama kuna moja umegeuka kwa nyuma tuma pia mkuu.Kweli mkuu?
Usipende vya bure utapakatwaAisee nikopesheni million kumi Na tano Bila riba Wala rehani
Ahahaa hakuna mkopo hapaNdio mkuu tuma picha full (uliosimama) na kama kuna moja umegeuka kwa nyuma tuma pia mkuu.
Karibu.
Wakabithi kwangu nikufundishe kudaiNimepita katika matukio kama yako Davis nilimkopesha pesa ndefu ya kumlipia mwanae ada kuna kipindi alisitishiwa mshahara hajanilipa hadi leo.Ally nae hivyo hivyo ila nimewagundua kuwa sio marafiki wa kweli na sitawadai
Ni sharti gan unashindwa hapo, unataka nikitumie pesa PM?Ahahaa hakuna mkopo hapa
Mungu akusaidie upateYaani ningepata mtu anikopeshe laki tatu nisingemsahau mpaka kaburini.Nina issue ya maisha na kifo ila ndo hivo nimekwama nimemuachia mungu
Njoo pm Nina shida ya msingi yaani acha tu mungu atendeNi sharti gan unashindwa hapo, unataka nikitumie pesa PM?
Ameen mkuuMungu akusaidie upate