[emoji23]Ukiwaomba watasema mi mchunaji
Hiyo inaitwa non performing loans[emoji23]Ila mzee una roho Nzur kwa Mwaka Jana umepoteza 1.4M written off debts Hongera sana
Duuh boss umegusa sana moyo wangu, nina ishu kama hii mwisho wa siku nikaishia kutukanwa.Yaani ''tunaachana'' kwa hela kiduchu hivi....inasikitisha.
Heri wewe ni rafiki huku ni ndugu, yaani ukitaka kuonekana mbaya dai chako!Yaani ''tunaachana'' kwa hela kiduchu hivi....inasikitisha.
Sad walahi!Duuh boss umegusa sana moyo wangu, nina ishu kama hii mwisho wa siku nikaishia kutukanwa.
Achana naoThese were close buddies...tunakunywa pamoja. Nasikitika urafiki wanauvunja kindezi hivi...
Chief vipi? Pesa ni M-Pesa!![emoji3] [emoji3] [emoji3]Aiseee
Mi nakupesha
Wabadilikie. Weka uso w mbuzi, watakulipa. Wakishindwa, timba home kwao. Somba cha thamani.These were close buddies...tunakunywa pamoja. Nasikitika urafiki wanauvunja kindezi hivi...