Ukorofi wa mchina: Samsang yawalipa apple $ billion 1 kwa kupeleka malori 30 yenye sarafu za senti 5

Ukorofi wa mchina: Samsang yawalipa apple $ billion 1 kwa kupeleka malori 30 yenye sarafu za senti 5

Offside!!!! kwenye rangi ya kibuluu
Vyanzo vyako vya habari inaonekana ni vichache sana. Jaribu ku-google "apple v/s samsung"

ukipata jawabu urudi jamvini.

Tena wewe nakupa kadi nekundu kabisa unajua kwamba samsung kamwe haiwezi kuitwa samsang?read between the line usikurupuke
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom