sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
- Thread starter
- #21
You jobless kid, listen. Hatuna mwanasiasa wa kuweza kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira sababu ni jambo crosscutting. Nimekupa mifano wee binafsi hauna akili na maarifa ya kuwa hata na kiwanda cha vikapu ila IQ yako ineweza kufikia thinking level ya kulaumu serikali km HecheKwahio mie nipambane na watu wajinga ambao wanalipwa ila wanashindwa ku deliver? You must be so dumb. Mmeweka wapuuzi top-down kisha mtegemee watu smart wahangaike nao.