lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,688
Embu achaneni na suala la katiba mpya, msidhani hao wanasiasa wanadai katiba mpya kwa maslai ya raia. mwenzenu wametumwa na mfadhali wao hayo ni makubaliano kwenye fedha za ufadhili walizopokea.
Vitu vya msingi Vipo kwa nini wadai katiba peke yake, ajabu ukionekana unauelekeo tofauti au mawazo tofauti wanakushambulia kwa matusi na kebei. TUNALAZIMISHANA
1) watumishi hawajaongezwa mishahara kwa nini hawazungumzi hili
2) Ajira kwa vijana nini kifanyike
3)Corona imeporomosha uchumi hawatoi mbinu za kupandisha uchumi
4) miradi kibao haijakamilika wamekaa kimya hawahamisishi miradi ikamilishwe fedha za watz zilizotumika zisipotee