Ukosefu wa ajira unatokana na kusoma fani zisizokuwa na tija

Unaweza kutoa angalau sababu za majuto yako mheshimiwa kitonger?
Mkuu mbali na kujiajiri,hii kozi kila ajira zinazotangazwa ajira Portal..aisee kwa mwaka utawz ona mara 2 tu..halafu wanataka 1 au2 tu..

Pia kazi zikitangazwa za Automobile..Mechanical Eng anaweza kuapply na akapata,ila za Mechanical Eng..Automobile Eng tukiapply ajira portal SYSTEM INATUKATAA..Yaani Tafrani tu.

Nipo kitaa mwaka wa 4 huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa fani yako unaweza kufanya nini?
 
Poleni Sana. Kwani kwa hiyo fani inawezekana kujiajiri ? Si ndio unakua fundi garage mwenye degree
 
Najuta Kusomea AUTOMOBILE ENGINEERING.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani jiogaizini mliosoma hiyo fani mfanye jambo au unaonaje ?
Wengine Sasa hivi baada ya kukosa ajira wanashauriwa sijui warudi veta wakasomee ufundi. Sasa wewe tayari ni fundi mwenye joho lako mjini.... Sasa Jishushe kaombe kazi kwenye magarage yale makubwa angalau ili upate maujanja ujanja ya kazi na connections za wateja. Ukiwa competent unajiongeza na wewe, eti au unaonaje ?

Najaribu tu kukuwazia hapa 🤔 . Mimi mwenyewe nina janga langu ndio naendelea kuwaza na kuwazua yaani ni shiidaaa haha
 
Hujachelewa Tena Sana,Kusoma Miaka Miwil Unaweza Ona Unapoteza muda.Unaweza Fikisha Miaka 40 Na Ukawa Hujafanya Lolote and you start to regret Ningejifunza Ningelikuwa Nina Kitu Leo.

Ngoja nifikishe nione regret yake inakuaje
 
Yaani jiogaizini mliosoma hiyo fani mfanye jambo au unaonaje ?
Wengine Sasa hivi baada ya kukosa ajira wanashauriwa sijui warudi veta wakasomee ufundi. Sasa wewe tayari ni fundi mwenye joho lako mjini.... Sasa Jishushe kaombe kazi kwenye magarage yale makubwa angalau ili upate maujanja ujanja ya kazi na connections za wateja. Ukiwa competent unajiongeza na wewe, eti au unaonaje ?

Najaribu tu kukuwazia hapa [emoji848] . Mimi mwenyewe nina janga langu ndio naendelea kuwaza na kuwazua yaani ni shiidaaa haha
Pole Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hiyo inaweza kuwa ni sababu mojawapo changizi ya kukosekana kwa ajira but sio sababu kuu ya kukosekana au uhaba wa ajira.

Ipo hivi, ajira Tanzania tunarudi nyuma sababu kuna ufanisi mdogo sana katika taasisi za kiserikali kitu ambacho kinasababisha kufeli kwa ukuaji mzuri wa hizi taasisi ambazo kama zingekuwa tokea miaka ya uhuru basi kwa hivi sasa zingekuwa na matawi kila mkoa na hivyo kungekuwa na uhaba wa kada hii ya wasomi.

Kuna watu toka wamemaliza shule hawajawahi sikia mkataba wa serikali wa kazi.

Sekta zifuatazo yaani utalii, uvuvi, reli na anga, misitu,kilimo, zikisimamiwa efficiently zifanye kazi inavyotakiwa ni swala la muda mfupi tu utasikia wanatafuta wafanyakazi maana kuna upungufu wa watendaji.
 
Ni kweli kuna taasisi nyingi za serikali zinahitaji nguvu kazi lakini hazitangazi ajira au kama wakitangaza ni nafasi chache. Kisingizio ni budget finyu lakini ukicheki hizo per diem wanazokula zinatosha kabisa kuajiri wafanyakazi kadhaa.Hizi sera za kikoloni ndo zimetufikisha hapa yaani sasa hivi mwenye diploma ana nafasi kubwa ya kupata kazi kuliko mwenye bachelor.
 
Back
Top Bottom