Ukosefu wa ajira Vijana wa kiume wamegeukia bodaboda vijana wa kike wamegeukia kujiuza

Mjini hapa,kila malaya ana story yake!
Mwisho wa siku ni uchaguzi tu wa maisha,mimi huwa sielewi mtu akijiuza nyie mnasumbuka nini?
Mimi ninachojua, japo wanatafuta pesa ya kuka kweli, ila uhakisia ni kwamba hiyo ni starehe kwao pia, ndio maana moe
Malaya milioni 50 leo, keshoxutamkuta anajiuza, ile pesa atanunua nyumba labda ili awe anaingiza wateja ndani kwa uhuru. Ni starehe hii jamani.
 
Embu mtu uyachukue hayo iwe ni party yako kama mzazi, unajisikiaje?


Na nyie mabinti, nani kawadanganya kwamba, mtu mwenye kutaka kukukoa unapaswa kumpa mwili wako kwanza?

Mwanaume unamhudumia wewe mtoto wa kike huku ukiamini utaolewa nani kawadanganya?

Endeleeni kumegwa kijinga!

Siwezi kuoa mwanamke ambaye amekaa kirahisi rahisi tu kunidanyia penzi lake na vijisenti vyake hata kama mimi sina kama za kwake

Kuolewa ni kazi moja rahisi saana kwa wanaofahamu kujitunza!
 
Sio ukosefu wa ajira ni uvivu na kupenda mteremko uslay qeen mwingi l
 
Wateja wako wengi bana weka link zao tuone km wateja watakosa
Weka izo link za wasap insta twitter tinder tuone
 
Ni muhimu bashe ajitahidi kwenye sera za kukifanya kilimo kiwe chenye tija ili hawa vijana waliojazana kwenye mabodaboda huku mabarabarani na mitaani wakajikite kwenye uzalishaji ndani ya mnyororo wa thamani wa kilimo. Vijana wa kiume wakiweza kumudu maisha automatically hao wa kike wataolewa wote na hawa vijana ngangari waliojitosheleza kiuchumi.​
 
Kazi ya kujiuza ni haramu na ni dhambi kubwa mbele za Mwenyezi Mungu so hata kama wajiuze kivipi hawawez fanikiwa kwa kutumia njia hiyo tofout na hapo Mungu tu awasaidie.
Tunakoelekea ni kibaya sana kufikia 2028 sjui vijana watakua na Hali gani??
 
Kukosa ajira isiwe sababu kujiuza mwili ni hekalu mwanamke anayejiuza kwa siku anatembea na wanaume si chini ya watatu kwa mwezi atakuwa amezini na wanaume si chini ya 100 kwa mwaka atakuwa amezini na wanaume zaidi ya wanaume 2000 huyu sio mtu tena hili jini

Wapo wanawake pamoja na kukosa ajira bado wanajiheshimu
 
Usisahau kubeti.

Khalifa wa The Chanzo alikuwa anaongelea hili janga na Jenerali Ulimwengu.

 
Hao ni wachache zaidi kuna vingi sijaandika
 
Alafu tunaishia kutukanwa wanaume wa sikuhizi hatuna pesa. Hebu fikiria wanawake wote wanaouza baa Tanzania hii ni wangapi jumlisha na hao malaya wanaojiuza wazi na kwenye mitandao, njoo kwenye hizi saluni za kiume vinyozi wawili lakini mabinti wa kukusafisha wajepinga watano. Hao woote wanalishwa na wanaume. Mishahara ya mabaa medi haifiki laki lkn angalia wanavyomiliki, hizo ni pesa za wanaume zinawatunza. Tunataka haki sawa,,, sawa ya nyoko.
 
Kazi zimejaa kibao mashambani ila Kwa kuwa wanataka kitonga waendeshe tuu hizo bodaboda na hao wengine wajiuze vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…