KERO Ukosefu wa Madawati katika Shule ya Msingi Sabaga - Kasulu, Kigoma

KERO Ukosefu wa Madawati katika Shule ya Msingi Sabaga - Kasulu, Kigoma

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Shule ya msingi Sabaga ipo Mkoa wa Kigoma wilaya ya Kasulu vijijini, Shule hii ina zaidi ya wanafunzi 1,567 na kuna vyumba 8 tu ya madarasa, Licha ya uhaba wa madarasa pia kuna uhaba mkubwa wa madawati licha ya viongozi mbalimbali kufika na kujionea hali halisi lkn hakuna hatua madhubuti ambayo wamechukua, watoto wengi wanakaa chini kitu ambacho ni hatari kwa afya yao hasa kipindi hiki cha mvua.

Hivyo niombe mamlaka husika kuingalia kwa jicho la pili, kwani Shule hii kwa matokeo ya darasa la saba mwaka huu tumefaulisha kwa asilimia 100 na kushika nafasi ya 11 kiwilaya.
 
Back
Top Bottom