Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 104
Utafiti ulofanyika umethibitisha kwamba ukosefu wa madawati mashuleni ndio sababu mbadala ya matokeo mabaya kwa wanafunzi wa kike; hii imethibitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha huku akitoa sababu kuwa maumbile ya uumbwaji wao ndio hupokea kirahisi magonjwa/uchafu mbalimbali wakaapo chini ambapo huwapelekea kuugua na kupoteza wakati mwingi kwa matibabu au kupoteza concentration wawapo darasani.
"Nawasilisha"
"Nawasilisha"