Ukosefu wa madawati ndio sababu ya wanawake kufeli mitihani

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
552
Reaction score
104
Utafiti ulofanyika umethibitisha kwamba ukosefu wa madawati mashuleni ndio sababu mbadala ya matokeo mabaya kwa wanafunzi wa kike; hii imethibitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha huku akitoa sababu kuwa maumbile ya uumbwaji wao ndio hupokea kirahisi magonjwa/uchafu mbalimbali wakaapo chini ambapo huwapelekea kuugua na kupoteza wakati mwingi kwa matibabu au kupoteza concentration wawapo darasani.

"Nawasilisha"
 
Inawezekana ingawa findings hizi sio conclusive- zinaweza zikawa one of the contributory factors
 
Fine, kwa hoja ya usafi ni sawa lakini suala la ukosefu wa madawati linawaathuri wanafunzi wa jinsia zote. Ebu fikiria unaandikaje bila dawati?
 
mkuu madawati hayasaidii chochote katika kujifunza, labda mwandiko
 
Fine, kwa hoja ya usafi ni sawa lakini suala la ukosefu wa madawati linawaathuri wanafunzi wa jinsia zote. Ebu fikiria unaandikaje bila dawati?

Kimsingi suala la usafi ndio linahucka zaidi lkn tukiliweka kiujumla ktk mazingira ya kawaida kila jinsia inahucka.
 
Back
Top Bottom