Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 104
Utafiti ulofanyika umethibitisha kwamba ukosefu wa madawati mashuleni ndio sababu mbadala ya matokeo mabaya kwa wanafunzi wa kike; hii imethibitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha huku akitoa sababu kuwa maumbile ya uumbwaji wao ndio hupokea kirahisi magonjwa/uchafu mbalimbali wakaapo chini ambapo huwapelekea kuugua na kupoteza wakati mwingi kwa matibabu au kupoteza concentration wawapo darasani.
"Nawasilisha"
Fine, kwa hoja ya usafi ni sawa lakini suala la ukosefu wa madawati linawaathuri wanafunzi wa jinsia zote. Ebu fikiria unaandikaje bila dawati?