Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Hadithi nzuri, inatufundisha jambo....Taarifa ya awali tunaambiwa mafuta yapo ya kutosha tatizo lipo kwa wamiliki wa vituo
Tusipoilaumu sirikali ktk hili tumlaumu nani?SALAAM!
Hapa niko Kakonko - Kigoma kusema kweli ukosefu wa mafuta umekwamisha shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi.
Nachotaka kufahamu ukosefu wa mafuta nchini Serikali ndiyo ilaumiwe?
Wabobevu wa Masuala ya nishati mnashauri kipi ili kurejesha matumaini ya kuporomoka kwa sekta ya usafirishaji;
Wasilisho!
Ngaika Ndenda
Walaumiwe"MACHADEMA"SALAAM!

Mlisha ambiwa mkahamie Burundi mnasubiri nini, mimi natafuta naulihuku tulipo lita 5000 sheli na hakuna.mtaani lita ya petrol sh 8000
Na dubei uende wewe?Huyu Rais wetu huyu kwa nini hafanyi ziara mikoani ili azione changamoto zinazowakabiri wanamchi?
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Waziri Mkuu aliyepo alikuwa anashirikiana na January Makamba kwenye hizo hitilafu Hadi awekewe Naibu?Wa kulaumiwa ni January Makamba. Hata umeme umekosekana. Sasa kaondolewa. Muda si mrefu Dr Biteko ataweka haya mambo sawa, ndiyo maana kaongezewa na rungu la Unaibu Waziri Mkuu.
Alaumiwe Mwambukusi,Dr Slaa na Mdude na ikiwezekana waporwe uraia kabisaSALAAM!