Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Any divided kingodom shall fall...na hakuna utawala uliojengwa kwenye msingi wa uongo ukasimama.Taarifa ya awali tunaambiwa mafuta yapo ya kutosha tatizo lipo kwa wamiliki wa vituo
Kama kuna shida ni ipi? Mbona hatujaambiwa? Tunaambiwa tu mafuta yapo wakati sehemu kubwa ina uhaba wa mafuta. Huo sio uongo?