Any divided kingodom shall fall...na hakuna utawala uliojengwa kwenye msingi wa uongo ukasimama.Taarifa ya awali tunaambiwa mafuta yapo ya kutosha tatizo lipo kwa wamiliki wa vituo
Naibu Waziri Mkuu anashauriana na Waziri wa Nishati Ili waone ni kwa namna gani wanatatua tatizo la mafuta!Kwani naibu Waziri Mkuu anasemaje?
Pesa za matamasha Mbeya aka Tulia marathon unafikiri zinatoka wapiMkuu hapo ni mpaka "Mr & Mrs" wajadili kwanza ili wapate kutoa tamko rasmi.
Not sure wapi hapo?Nasikia ukionyesha kadi ya CCM unapewa mafuta tena kwa bei ya punguzo ....CCM oyeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2969][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeeleweka...100%Wanaohujumu mafuta ni Serikali wenyewe,CCM ni mafisadi[emoji116]
View attachment 2740165