Poleni sanaUKOSEFU wa maji kwa wakazi wa Kimara, Stop Over, Suka, Bwawani, Mji mpya na mitaa mingine mbalimbali ya Dar es Salaam kwa muda usiopungua siku 3 mfululizo bila taarifa rasmi.
Katika sehemu ya TAARIFA ya DAWASCO kuna mitaa ambayo imetajwa kukosa maji n katika mitaa hiyo mitaa niliyoitaja hapo juu hakuna hata mmoja.
Kuna haja wahusika katika idara hiyo KUJIPIMA. [emoji871]
Huko ndiko wapi?Huku ndio yameanza kutoka leo baada ya kuyakosa kwa saa 72 na ushee
Unataka kujua mshana anakaa wapi?Huko ndiko wapi?