Ukosefu wa matangazo ya shule za private kwenye TV na Radio !

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Wadau wa elimu JF.....!
Imekuwa ni kawaida pindi yatokapo matokeo ya kidato cha 4 huwa kunakuwa na mfululizo wa matangazo ya shule za private kwa wanafunzi wanaopenda kujiunga na kidato cha 5, Lakin hivi sasa ukitazama Tv na hata ukisiliza Radio hutaweza kuskia tena matangazo ya shule bali utaskia matangazo ya colleges tu kwa ngazi za Cert na dplmoma.

Je ndio kusema anguko la mwaka kidato cha 4 ndio limepelekea haya kwa kuhisi kukosa wanafunzi wenye sifa za kujiunga na kidato cha 5 2013?
Pia na serkali imechukua hatua gani mpaka sasa?
 
Sasa wenyewe wanaumiza vichwa huko shule zao zenyewe zinahatihati kukosa wanafunzi ndo maana hata selection hadi sasa hazijatoka na hatuoni hata dalili za kutoka.usishangae kuona shule za private zina wanafunzi kumi hadi ishirini wa form 5 2013
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…