Ukosefu wa "Siasa Safi" Afrika ndo chanzo cha Umaskini

Ukosefu wa "Siasa Safi" Afrika ndo chanzo cha Umaskini

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Afrika kote tunafanana kwa tabia zetu za kizombi. Siasa Safi inawekwa Kapuni na wachache. Watu wanapiga bila kupingwa.

NB: poleni FRELIMO, SWAPO na Vyama vyote rafiki.
 
Afrika kote tunafanana kwa tabia zetu za kizombi. Siasa Safi inawekwa Kapuni na wachache. Watu wanapiga bila kupingwa.

NB: poleni FRELIMO, SWAPO na Vyama vyote rafiki.
uoga wako ndiyo umaskini wako,

kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi binafsi wa mtu .

hakuna kisingizio kingine:pedroP:
 
Ndiyo. Siasa ingekuwa njema, yule ajuza aliyefeli .mara 4 form four , asingepewa urais
 
Back
Top Bottom