M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Dec 15, 2024 #1 Afrika kote tunafanana kwa tabia zetu za kizombi. Siasa Safi inawekwa Kapuni na wachache. Watu wanapiga bila kupingwa. NB: poleni FRELIMO, SWAPO na Vyama vyote rafiki.
Afrika kote tunafanana kwa tabia zetu za kizombi. Siasa Safi inawekwa Kapuni na wachache. Watu wanapiga bila kupingwa. NB: poleni FRELIMO, SWAPO na Vyama vyote rafiki.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Dec 15, 2024 #2 blessings said: Afrika kote tunafanana kwa tabia zetu za kizombi. Siasa Safi inawekwa Kapuni na wachache. Watu wanapiga bila kupingwa. NB: poleni FRELIMO, SWAPO na Vyama vyote rafiki. Click to expand... uoga wako ndiyo umaskini wako, kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi binafsi wa mtu . hakuna kisingizio kingine
blessings said: Afrika kote tunafanana kwa tabia zetu za kizombi. Siasa Safi inawekwa Kapuni na wachache. Watu wanapiga bila kupingwa. NB: poleni FRELIMO, SWAPO na Vyama vyote rafiki. Click to expand... uoga wako ndiyo umaskini wako, kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi binafsi wa mtu . hakuna kisingizio kingine
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Dec 15, 2024 #3 Ndiyo. Siasa ingekuwa njema, yule ajuza aliyefeli .mara 4 form four , asingepewa urais